Wasomi wengi feki

Wasomi wengi feki

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
heading inajieleza wasomi wengi hapa tz wanaishia kufanya starehe na pesa zetu kupitia mkopo hali kadhalika wakihitimu huishia kuzunguka kwani hawana ujuzi bali vyeti mkononi namaeno mengi ilihali wanajua hawana uwezo wakuperform concerned task,tubadilike vijana wenzangu badala yakula starehe zamda mfupi tujitahidi kuelewa vilivyo tunachofundishwa ili ujuzi ukae sawasawa natuje kuwa bora kati yawengi katika kulijenga taifa hili, ahsante sina nia mbaya bali kukumbushana
 
unachosoma darasani is quite different na unachokikuta huko makazini..........
 
kumbe mfumo pia nitatizo? sasa basi sisi kama vijana nijukum letu kuhakikisha elimu yetu inakuwa msaada kwa taifa letu
 
Back
Top Bottom