Wasomi wengi wanashinda ndani wakitazama movies sababu bado hawajapata ajira, huku vijana wenye umri sawa sawa na wao wanapambana. Hawana huo ujinga

Nina ushahid kabisa unamwambia mtu njoo sokon tuuze matunda jumla na reja anasema yeye na degree yake hawez Kaa sokon ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ yupo nyumban analea mtoto bila baba no job wala biashara


Wasomi wanajikweza sana wanataka kazi za kukaa na kuzunguka kwenye kiti hizi mambo hazipo Kwa Sasa kama umepata upenyo wa kufanya biashara fanya usiangalie ikoje as long inakupa pesa ya kulipa kod na uhakika wa kula Dunia imebadilika mno sawa tumesoma ila nchi yetu kwenye ajira ni changamoto

Wasichana wengi wameamua kujiuza khaaa kwenye makasino unamuuliza mtu vip mbona ivi anakuambia nimekosa ajira Bora apambane Ivo๐Ÿ™„ the hell
 
habari wadau,

uchunguzi wangu kwa wanaonizunguka nimegundua graduates wengi wanapenda sana kushinda ndani na kutazama movies kutwa nzima.

wakichoka movies wanahamia kuperuzi instagram na tik tok, sababu kuu bado hawajapata ajira
Tatizo la Elimu yetu ni kwenda kuajiriwa,Elimu ya ujasiriamali ni Muhimu ili watu waanze mazoezi ya kujiajiri iwe kilimo ufugaji,kufungua maduka, car wash,nk!
 
Mindset ya kuajiriwa/kufanyiwa
...
Sasa kama una miguu yote miwili,macho yote,mikono mizima afu hutoki upambane kuuza japo karanga unategemea ugali wa shikamoo
...
Na ukubwa wote huo, umekaa unavizia ugali wa ndugu/wazazi kutwa kubadilisha series
HUO NI UZEMBE/ULEGEVU/UVIVU/UPUMBAVU/UBWEGE/USHUBWADA
 
Habari wadau,

Uchunguzi wangu kwa wanaonizunguka nimegundua graduates wengi wanapenda sana kushinda ndani na kutazama movies kutwa nzima.

Wakichoka movies wanahamia kuperuzi instagram na tik tok, sababu kuu bado hawajapata ajira.
Sasa ulitaka wafanye nini?
 
Sehemu za siri ndizo zinaumia lakini
 
Graduates msidanganyike na maneno makali mtayotupiwa kwenye huu uzi

Kama huna mchongo wowote kwa sasa na huna uhakika wa kupata mchongo baki nyumbani, usitoke nyumbani. Endelea kubanana nao apoapo tena ikibidi uwe unaficha rimoti na vichenji usiwe unarudisha ili usikose ya bando na matumizi ya apa na pale.

Huku mtaani mambo ni magumu sana, ukijichanganya kusikiliza maneno ya watu tena wa mtandaoni hakuna rangi utaacha kuona.

kama hawajakupatia hela ya mtaji na pesa ya kwenda kuanzia maisha usitoke Nyumbani.!!โš ๏ธ
 
Yupo mwingine nilimwambia nimpe tenda ya kuwa anapeleka kuku kwa wateja ambao tyr mimi nishawatafuta akagoma kabisaa visingizo vikawa vingi.Baada ya muda akaniomba hela ahonge ili apate ajira tena anaomba kama deni. Nili muhurumia sana kwa ujinga alionao japo anaelimu ya juu.

Sikumpa hata mia na ajira hakupata. Mwezi wa huu anaenda day waka kwenye kiwanda cha maji wanalipwa 7000 per day kula humo usafiri humo humo. MAJINGA SANA
 
Wewe ungemlipa hiyo 7000 kwa siku....!?
 
Mimi nipo kijiweni hapa na boda boda naperuzi JF na twita nasubiria mteja aje, kuna shida yoyote ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ