Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tukiangalia movies, wewe kinakuuma nini ?habari wadau,
uchunguzi wangu kwa wanaonizunguka nimegundua graduates wengi wanapenda sana kushinda ndani na kutazama movies kutwa nzima.
wakichoka movies wanahamia kuperuzi instagram na tik tok, sababu kuu bado hawajapata ajira
Tatizo la Elimu yetu ni kwenda kuajiriwa,Elimu ya ujasiriamali ni Muhimu ili watu waanze mazoezi ya kujiajiri iwe kilimo ufugaji,kufungua maduka, car wash,nk!habari wadau,
uchunguzi wangu kwa wanaonizunguka nimegundua graduates wengi wanapenda sana kushinda ndani na kutazama movies kutwa nzima.
wakichoka movies wanahamia kuperuzi instagram na tik tok, sababu kuu bado hawajapata ajira
Mkiugua mizinga unakuwa Mungu hata mafua tuu!Sisi tukiangalia movies, wewe kinakuuma nini ?
Sisi tukiangalia movies, wewe kinakuuma nini ?
Sasa ulitaka wafanye nini?Habari wadau,
Uchunguzi wangu kwa wanaonizunguka nimegundua graduates wengi wanapenda sana kushinda ndani na kutazama movies kutwa nzima.
Wakichoka movies wanahamia kuperuzi instagram na tik tok, sababu kuu bado hawajapata ajira.
Sehemu za siri ndizo zinaumia lakiniNina ushahid kabisa unamwambia mtu njoo sokon tuuze matunda jumla na reja anasema yeye na degree yake hawez Kaa sokon 😀😀😀 yupo nyumban analea mtoto bila baba no job wala biashara
Wasomi wanajikweza sana wanataka kazi za kukaa na kuzunguka kwenye kiti hizi mambo hazipo Kwa Sasa kama umepata upenyo wa kufanya biashara fanya usiangalie ikoje as long inakupa pesa ya kulipa kod na uhakika wa kula Dunia imebadilika mno sawa tumesoma ila nchi yetu kwenye ajira ni changamoto
Wasichana wengi wameamua kujiuza khaaa kwenye makasino unamuuliza mtu vip mbona ivi anakuambia nimekosa ajira Bora apambane Ivo🙄 the hell
Mnakuwa mbele kabla yakeSisi tukiangalia movies, wewe kinakuuma nini ?
Uwezo wanao awajachukua maamuzi mkuu mimi nilisja okota kopo za maji kipindo iko ndio biashara iyo imeenza aibu niliweka pembeniSahihi kabisa wahitimu wengi wa Tanzania hawana uwezo wa kujiajiri wenyewe
Achana na sisiMkiugua mizinga unakuwa Mungu hata mafua tuu!
Yupo mwingine nilimwambia nimpe tenda ya kuwa anapeleka kuku kwa wateja ambao tyr mimi nishawatafuta akagoma kabisaa visingizo vikawa vingi.Baada ya muda akaniomba hela ahonge ili apate ajira tena anaomba kama deni. Nili muhurumia sana kwa ujinga alionao japo anaelimu ya juu.Nina ushahid kabisa unamwambia mtu njoo sokon tuuze matunda jumla na reja anasema yeye na degree yake hawez Kaa sokon 😀😀😀 yupo nyumban analea mtoto bila baba no job wala biashara
Wasomi wanajikweza sana wanataka kazi za kukaa na kuzunguka kwenye kiti hizi mambo hazipo Kwa Sasa kama umepata upenyo wa kufanya biashara fanya usiangalie ikoje as long inakupa pesa ya kulipa kod na uhakika wa kula Dunia imebadilika mno sawa tumesoma ila nchi yetu kwenye ajira ni changamoto
Wasichana wengi wameamua kujiuza khaaa kwenye makasino unamuuliza mtu vip mbona ivi anakuambia nimekosa ajira Bora apambane Ivo🙄 the hell
Wewe ungemlipa hiyo 7000 kwa siku....!?Yupo mwingine nilimwambia nimpe tenda ya kuwa anapeleka kuku kwa wateja ambao tyr mimi nishawatafuta akagoma kabisaa visingizo vikawa vingi.Baada ya muda akaniomba hela ahonge ili apate ajira tena anaomba kama deni. Nili muhurumia sana kwa ujinga alionao japo anaelimu ya juu.
Sikumpa hata mia na ajira hakupata. Mwezi wa huu anaenda day waka kwenye kiwanda cha maji wanalipwa 7000 per day kula humo usafiri humo humo. MAJINGA SANA
kila akipeleka kuku 100 namlipa 1300 kwa kila kuku. Mbona nimewahi elezea kwa undani humu jamvini mkuu tena nilimfuata mwenyewe na kumwambia kuhusu hili diliWewe ungemlipa hiyo 7000 kwa siku....!?