Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Wao ndio wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuokoa jahazi hili, wananchi wanaumia sana akina mama mitaani wanalia machozi hasa mama ntilie nakadhalikaHAKUNA WACHUMI NCHI HII KWA SASA WOTE WAMEKIMBILIA KWENYE SIASA
Nani anataka taaluma hapa Bongo? Tulisha acha Taaluma. Takwimu zenyewe huruhusiwi kuzitafuta, unatakiwa upewe! Au hukuwepo hapa Bongo ndiyo unafika sasa. Kama Katiba na sheria hazifuatwi, kuheshimu taaluma huoni kuwa itakuwa kazi ngumu zaidi? Watanzania unaowakuta Botswana, Nabimia, Afrika Kusini ni wana taaluma wale! Wakiombwa warudi hapa wakajaribu, inashindikana kutumia utaalam wao kama walikokuwa awali.View attachment 2331377Tatizo la tozo kuwa nyingi sio makusudi ya raisi wala serikali. Lawama hizi napeleka kwa wasomi wenye taaluma ya uchumi kwasababu wanatakiwa kubuni njia nyingine za mapato na kuwasilisha serikalini. Mfano rahisi ni kuwa, badala ya serikali kuongeza tozo katika miamala ya simu na benk ilipaswa wasomi wenye taaluma ya uchumi wakishirikiana na waziri wa viwanda na biashara ikiwemo uwekezaji kushawishi wawekezaji kutoka mataifa makubwa kuja kuwekeza hapa nchini kwa wingi ikwemo kujenga viwanda ili serikali ijipatie mapato mengi nadhani hii itasaidi tozo kupungua ama kuondolewa kabisa katika miamala ili wananchi wapate ahueni.
Hivi Ikulu hakuna chombo maalumu cha kusikiliza kero za wananchi?Nani anataka taaluma hapa Bongo? Tulisha acha Taaluma. Takwimu zenyewe huruhusiwi kuzitafuta, unatakiwa upewe! Au hukuwepo hapa Bongo ndiyo unafika sasa. Kama Katiba na sheria hazifuatwi, kuheshimu taaluma huoni kuwa itakuwa kazi ngumu zaidi? Watanzania unaowakuta Botswana, Nabimia, Afrika Kusini ni wana taaluma wale! Wakiombwa warudi hapa wakajaribu, inashindikana kutumia utaalam wao kama walikokuwa awali.
View attachment 2331377
Tatizo la tozo kuwa nyingi sio makusudi ya raisi wala serikali. Lawama hizi napeleka kwa wasomi wenye taaluma ya uchumi kwasababu wanatakiwa kubuni njia nyingine za mapato na kuwasilisha serikalini. Mfano rahisi ni kuwa, badala ya Serikali kuongeza tozo katika miamala ya simu na benk ilipaswa wasomi wenye taaluma ya uchumi wakishirikiana na waziri wa viwanda na biashara ikiwemo uwekezaji kushawishi wawekezaji kutoka mataifa makubwa kuja kuwekeza hapa nchini kwa wingi ikwemo kujenga viwanda ili serikali ijipatie mapato mengi nadhani hii itasaidi tozo kupungua ama kuondolewa kabisa katika miamala ili wananchi wapate ahueni.
🤣🤣🤣 kero zipi mkuu, wewe unaona kuna kero wenzako wanasema kila kitu kipo sawa.Hivi Ikulu hakuna chombo maalumu cha kusikiliza kero za wananchi?
Kuna hawa mama zetu na ndugu zetu mitaani ambao ni wajasiriamali wadogo ikiwemo mama ntilie nk, gharama za maisha zinapopanda sana wataendeshaje maisha yao na hasa wengi wao wanatunza familia kwa kidogo wanachopata🤣🤣🤣 kero zipi mkuu, wewe unaona kuna kero wenzako wanasema kila kitu kipo sawa.
Wabuni njia za mapato na wawasilishe serikalini badala ya kutotumia elimu yao waliyopata vyuoni ili wananchi wapate ahueniWasomi wa taaluma ya Uchumi wengi wako You tube wanakula tunda kimasihara.