“Wasomi Wetu Wanarudishwa Nyumbani?” Kenya Fails Students Abroad as Germany Deportation Threat Looms

“Wasomi Wetu Wanarudishwa Nyumbani?” Kenya Fails Students Abroad as Germany Deportation Threat Looms

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Wadau, hii story inahitaji discussion ya ukweli. More than 20 Kenyan PhD students kule Germany wako kwa edge ya kufukuzwa si kwa sababu ya makosa yao, but because serikali haikulipa scholarship funds kwa DAAD.

Hii ni serious sana.
These are not ordinary students. Hawa ni researchers wanafanya kazi kwa fields kama agriculture, health, engineering,solutions ambazo Kenya inahitaji urgently. Lakini sasa studies zimesimama, stipends zimekatwa, na residence permits zao zinaexpire.
One of them alisema:
“Tumekuwa tukituma emails bila majibu. Sasa hatujui kama tutamaliza PhD ama tutarudi home empty-handed.”

What’s really happening?
Kenya ilikuwa na joint scholarship deal na DAAD
Serikali ilitakiwa kutuma share ya funds
Zaidi ya mwaka sasa hakuna malipo
DAAD wakasimamisha stipends
Students sasa hawana proof of funds (~€11,000/year required Germany)
Bottom line: Bila pesa = hakuna legal stay.

Swali kwa Wakenya:
Hii ni failure ya system ama priorities zimekosewa?
Tunaambiwa Kenya inataka innovation, lakini:
Tunafund students abroad
Halafu tunawaacha stranded
Years of investment zinapotea hivi tu?

Impact yake ni kubwa kuliko inavyoonekana
Kama hawa students watafukuzwa:
  • Kenya inapoteza experts wa future
  • Millions zilizowekwa kwa education zinaenda waste
  • International partnerships zinaweza haribika (trust issue)

Serikali inafaa kuwajibika ama students wajitafutie njia?
Why sponsor students kama hatuwezi sustain programme?
Is this why brain drain inaendelea?
Mwisho kabisa
Hii sio tu story ya students ni story ya how Kenya handles its brightest minds.

Je, serikali itachukua hatua haraka… ama hawa wasomi wataachiwa waangamie
Source: Kenya News update
 
Back
Top Bottom