Wasomi wote hapa!!!!!

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
527
Reaction score
596
Wasalaam JF members.
Naomba msaada wa "direct translation" from Kiswahili to English ya hii sentensi.
"BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"
Natanguliza shukrani kwa yeyote atakayejalibu.
 
We mhaya bwana! Una chaiiiii!!!!
 
Dad, what is my birth order? (or something like that ..)
 
dad, in your kids, what number am i?
 
Father what is my birthorder amoung your childrean?
 
Daddy in what position am in our generation !!
 
hapo bila bila....mi napita wakuu!!!
 
Halafu na wewe unajiita ni msomi wa University na bado akili yako pumba tupu kwamba English na Swahili kuna tafsiri ya neno kwa neno!!
Hili ni janga la Taifa wanafunzi wanafaulu halafu hawajui kusoma wala kuandika sasa wale wanaofeli sijui hali yao ikoje!!
 
na wewe kwa nini umuulize baba yako swali kama hilo!!kwani wewe hujui mko wa ngapi nyumbani kwenu,hujui idadi ya kaka na dada zako!!hata hufahamu nani kakuzidi umri katika hao ndugu zako!!...unawahesabu mwenyewe kimya kimya unafahamu wewe ni wa ngapi!
 
Mhhh hiki kizungu me ndio sikijui kabisa
 
Moderator naomba Jukwaa hili hili lipewe heshima yake, hii thread ifutwe au ipelekwe jukwaa la Jokes au jukwaa la Lugha please.
 
Father, what is my position in the lineage of siblings?
 

hivi wewe unajua babako ana mamazako wangapi,

uajuaje idadi enu. unaweza ukamuomba akupe

order/list yenu, ascending order mkuu, ask hem
 
karanga mkuu hiyo yako hapana.. mimi nipeni

kwa kizungu, SAMBUSA NA MSHIKAKI hapo tu wasomi wetu
 
Haya, na wewe sema " Kidumu chama cha Mapinduzi" in English.
 
hivi wewe unajua babako ana mamazako wangapi,

uajuaje idadi enu. unaweza ukamuomba akupe

order/list yenu, ascending order mkuu, ask hem
mama yangu mmoja tu!!kwa mjibu wa imani yetu mme anakuwa na mke mmoja tu!!hizo za nyumba ndogo hakuna,kama wewe una amini katika mitala poa ila baba anaye mama mmoja na ni mmoja tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…