Wasovieti walitoa AK 47 nao Wamarekani wakatoa M16-bunduki hizi zinatofautiana vipi?

Sipo hapa kubishana Leta data alijiunga na jeshi mwaka gan na mwaka gan alianza harakat zake za kukamilisha AK 47 ninayo mahujiano yake yapata miaka michache tu tokea afarik ajafarik kitambo
 
Mkuu, japo nimechelewa uzi ikikupendeza, in a nutshell tushushie uzi kuhusiana na SMG56, na uitofautishe na AK-47, Pamoja na M16.
Fresh mkuu ngoja tutafute tena tulipo yakukuta haya machapisho
 
Huyu mwamba aliyegundua hii AK 47 au Automat Kalashnikov 47 si mchezo kule Iraq nasikia wamarekani walikuwa wanazitupa hizo M16 wanaokota AK47 .

Automat Kalashnikov 1947-AK 47 .Jamaa alijengewa mpaka sanamu pale Moscow siku ukienda Moscow utalikuta.😂😂😂
 
Muundaji alikua mwanajeshi mwenye cheo cha Luteni.
Alidesigh hiyo silaha akiwa hosptal baada ya kushambuliwa kwenye kifaru enz za vita ya pili ya Dunia.
 
Uzi mzuri
 
Kuranishkov alijuta kwakua bunduki imeua watu wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…