Wasovieti walitoa AK 47 nao Wamarekani wakatoa M16-bunduki hizi zinatofautiana vipi?

Wasovieti walitoa AK 47 nao Wamarekani wakatoa M16-bunduki hizi zinatofautiana vipi?

watu wa zaman walikuwa wagunduz ingawa technology kipind kile ilikuwa ndogo ila walifanya mambo makubwa unawakumbuka Akina Wright brothers wagunduz wa ndege mpaka Leo hii tuna ndege zisizo na ruban
Mkuu watu wapo huwa hawaishi.
Angalia gari la umeme, ndege ya imeme., auantum computer 5G internet, face book, Android,hyperloop teain, bulet train, drones nk nk l.
Hizo zote ni gunduzi za kizazi cha sasa na wagunduzi bado wapo hai.
Chanjo ya korona imegunduliwa ndani ya miaka miwilu tu baada ta kutokea corona.
 
Hujui chochote kuhusu historia ya huyu mvumbuzi wa AK 47 Mikhail Kalashkov. Inshort alikua ni Afisa wa Jeshi na hiyo silaha aliitengeneza katika mashindano ya kutafuta mvumbuzi bora wa silaha, na alikuja na version tofauti tofauti akiziimprove mpaka hiyo ilipokuja kuonekana ni award winning machine gun.
Sipo hapa kubishana Leta data alijiunga na jeshi mwaka gan na mwaka gan alianza harakat zake za kukamilisha AK 47 ninayo mahujiano yake yapata miaka michache tu tokea afarik ajafarik kitambo
Muundaji alikua mwanajeshi mwenye cheo cha Luteni.
Alidesigh hiyo silaha akiwa hosptal baada ya kushambuliwa kwenye kifaru enz za vita ya
Mkuu watu wapo huwa hawaishi.
Angalia gari la umeme, ndege ya imeme., auantum computer 5G internet, face book, Android,hyperloop teain, bulet train, drones nk nk l.
Hizo zote ni gunduzi za kizazi cha sasa na wagunduzi bado wapo hai.w
Chanjo ya korona imegunduliwa ndani ya miaka miwilu tu baada ta kutokea corona.

pili ya Duni
Ndio ila wamerahisishiwa kaz na watu wa zaman bila wakina Tesla nikola na Thomas Edison Akina Newton, Albert Einstein, Hawa wasasa wamekuta kuna basic
 
Mkuu watu wapo huwa hawaishi.
Angalia gari la umeme, ndege ya imeme., auantum computer 5G internet, face book, Android,hyperloop teain, bulet train, drones nk nk l.
Hizo zote ni gunduzi za kizazi cha sasa na wagunduzi bado wapo hai.
Chanjo ya korona imegunduliwa ndani ya miaka miwilu tu baada ta kutokea corona.
Bahat yao nzur wamekuta wametafuniwa data kwa mfano apo baba wa umeme nikola Tesla na Thomas Edison ndo basic ya kufanya vitu vyote hivo
 
Huyu mwamba aliyegundua hii AK 47 au Automat Kalashnikov si mchezo kule Iraq nasikia wamarekani walikuwa wanazitupa hizo M16 wanaokota AK47 .

Automat Kalashnikov 1947-AK 47 .Jamaa alijengewa mpaka sanamu pale Moscow siku ukienda Moscow utalikuta.[emoji23][emoji23][emoji23]
Taarifa za kutoka Vijiwe vya ghahawa hizi wakiwa wamevaa misuli na makobazi.
 
Hujui chochote kuhusu historia ya huyu mvumbuzi wa AK 47 Mikhail Kalashkov. Inshort alikua ni Afisa wa Jeshi na hiyo silaha aliitengeneza katika mashindano ya kutafuta mvumbuzi bora wa silaha, na alikuja na version tofauti tofauti akiziimprove mpaka hiyo ilipokuja kuonekana ni award winning machine gun.
Nakucorrect kidogo mkuu ingawa sina uhakika kama nilichokiangalia ni kweli au laah!

Ni hivu nimeangalia movie moja inaitwa AK 47 , Inaelezea aliyeigundua hiyo silaha alikuwa kweli ni askari wa jeshi lakini alikuwa sergent na sio Afisa.

Nipo tayari kukosolewa maana nimeona movie[emoji23]
 
AK 47 haikuundwa na jeshi Bali iliundwa na jamaa flan Hiv mrussi kwakuwa kilikuwa kipind cha ujamaa ikabid imilikishwe kwa jeshi na muhusika akaingizwa kwenye jeshi muundaje alishafariki ila enzi za uhai wake alijutia Sana kutengeneza hii bunduki alijutaa Sana alifariki akiwa hana kitu kabisa hiii bunduki haikumnufaisha yeye
Mh sijui umetolea wapi hiyo story? Ila mwamba alikuwa mjeshi pure na injinia
 
Huyu mwamba aliyegundua hii AK 47 au Automat Kalashnikov si mchezo kule Iraq nasikia wamarekani walikuwa wanazitupa hizo M16 wanaokota AK47 .

Automat Kalashnikov 1947-AK 47 .Jamaa alijengewa mpaka sanamu pale Moscow siku ukienda Moscow utalikuta.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vietnam.mkuu now m4 ni bora kuliko hiyo ak47 mkuu
 
Sipo hapa kubishana Leta data alijiunga na jeshi mwaka gan na mwaka gan alianza harakat zake za kukamilisha AK 47 ninayo mahujiano yake yapata miaka michache tu tokea afarik ajafarik kitambo

Ndio ila wamerahisishiwa kaz na watu wa zaman bila wakina Tesla nikola na Thomas Edison Akina Newton, Albert Einstein, Hawa wasasa wamekuta kuna basic
Mkuu mbona povu jingi unapo lekebishwa wote tuna jifunza.
 
Michael amefariki mwaka Jana ndie kiongozi wa kuhamisha uhai kwa hicho kifaa chake Aka 47. Alisha tubu kwa muumba anajihisi yeye ndie mng'oa roho wakati wanao bonyeza try gan ni wengine.
 
Hiyo AK 47 imeua sana watu Duniani kama wangefanya tafiti na zimezagaa sana kwa Nchi zisizo na sheria kali kuhusu siraha hapo Somalia unakuta chalii tuu anazo mbili huku anaenda kufata tende zake sita dukani..
Tena unakuta kachali kajinga tu, kana AK47 anatembea nayo mtaani kwenda kunya baharini uku akijili amirungi yake. Yaani vijana wa Kisomali bila kutembea na AK47 anajiona kama kasahau kitu muhimu nyumbani.
 
Sipo hapa kubishana Leta data alijiunga na jeshi mwaka gan na mwaka gan alianza harakat zake za kukamilisha AK 47 ninayo mahujiano yake yapata miaka michache tu tokea afarik ajafarik

.
Screenshot_20210928-100858_Google.jpg
 
Back
Top Bottom