Wassira amgomea JPM, asema halipi deni la Commodity Import Support. Akataa wito, Task Force kutuma Polisi. Yeye adai yuko tayari kupigwa pingu!

Tangu uongozi wa mkapa walukua wapi ndio waje kumdai leo
Binafsi sina tatizo na mtu anayefanya jambo la haki, hata kwa kuchelewa. Huyo ni bora na anayeacha kufanya jambo la haki kabisa.

Lakini, ingependeza Zaidi kama tungehakikishiwa kwamba, hizi habari hazijawekwa kisiasa Zaidi.

Kwa mfano, kama kukiwa na list ya wanasiasa wote wanaodaiwa madeni haya na kila mmoja atakiwe kulipa.
 
Kabisaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…