Wassira amgomea JPM, asema halipi deni la Commodity Import Support. Akataa wito, Task Force kutuma Polisi. Yeye adai yuko tayari kupigwa pingu!

kama mnajenga chuki dhidi yake naye atajenga chuki dhidi yenu
Kukujibu kipande hiki tu kifupi, na kuacha hayo mengine ambayo pia sio kweli.
Kiongozi hatakiw i"kujenga chuki" dhidi ya kundi lolote. Sitaona ajabu usipoelewa nilichosema hapa.

Kujenga chuki kwa kiongozi ndiko kunakosababishi mitafaruku hii na mivuruganyo kati ya sisi kwa sisi. Sifa hii ndio inayomwondolea heshima kubwa ambayo angekuwa amekwishaipata baada ya kufanya haya mengi unayosifia hapo juu.
 
Hizo ni kanuni tu...lakini kama mwanadamu mf ww je ungeendelea kujenga urafiki na hao? Watu wasiokubaliana na unachofanya,watu wanaosambaza sumu kwa watu dhidi yako...bila shaka kuna chuki fulani utajenga dhidi yao...huwezi mfurahia mpinzani wa namna hii...japo demokrasia inabidi ifuatwe..
 
Hakuna lazima ya 'kujenga urafiki' na hao wanaokushambulia ukiwa kiongozi, kama isivyohitaji 'kujenga chuki' zidi yao.
Kama kiongozi anafanya kazi yake na raia kwa ujumla wanaiona, kuna lazima gani ya kuhangaika na hayo ya 'urafiki' na kujengeana chuki?
Hukuona iliposemekana 'watu wanakwenda kuunga mkono juhudi', au hizi pia zilikuwa mbwewmbwe za chuki?
 
Hapo sidhani kama rafiki yake Mzindakaya atakosekana!
Si ulimuona akijitambulisha kama mfanyabiashara mzee kuliko wote? Walizoea kukopa na kutokomea na madeni kwa jina la siasa. Sasa yabidi walipe hata kama ni kwa pressure ya kutoa roho, warithi wadaiwe.
 

Unadhani ni kwa nini watu aina ya Wassira hujiunga ccm?
 
Hivi nyinyi mnawajua ccm au mnawasikia ,mle nani sio mwizi ? Nani sio fisadi ? ccm ni kundi la wapigaji wanaokula kwa zamu hakuna msafi hata mmoja .Wote wana kashfa za hatari hata huyu mpigaji mzalendo ndio hatari zaidi .
 
Chuma hufua chuma, ni mwendo wa Roho mkononi
 
Bongo kama Ulaya awamu hii..kwa watu kukumbushwa madeni na ukatishaji pesa na kutolipa kodi...
 
Sawa mkuu nimekuelewa ndo maana nikasema baadhi ya wapinzani na sio wote ambapo wengi wao ni wale walionywesha sumu na kukaririshwa hasa vijana wa siku hizi...
But nashindwa kuelewa kwa nn mnamfananisha na vitu vibovu...sijui saa mbovu mara shetani..,hii ndo chuki ninayoisemea sasa..
 
Je,mliwachukuliaje hao waliosema wanakwenda kuunga mkono juhudi za rais??.....mlikubaliana nao kwa moyo mnyoofu kweli?
 
Fisiem ni fisiem tu
Wanakula nchi saaaaaana
 
Mil 100??

Rais wa Tanzania anamdai mstaafu Mil. 100?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…