Wassira amgomea JPM, asema halipi deni la Commodity Import Support. Akataa wito, Task Force kutuma Polisi. Yeye adai yuko tayari kupigwa pingu!

Wasira hajakataa deni alichosema kwamujibu wa gazeti la mwananchi ni kwamba alikwisha lipa deni lote kupitia tib bank. Benki hiyo inamdai licha ya kuwepo na vielelezo vya kuonyesha Amelipa. Katika maelezo yake hakumtaja rais Magufuli popote. Kama ni kweli Amelipa , ni kwa nini alazimishwe kulipa tena. Anasema Kama tib haikubaliana na maelezo, iende mahakamani na yeye yuko tayari kwenda mahakamani kujitetea.Kwa maelezo hayo matusi na kejel ni za nini? I. Hivi Huo ndiyo u great thinker,!!
 
Muda wote anaimba,"noni,noni,noni"[emoji444][emoji445][emoji443][emoji16][emoji16]
 
Bongo kama Ulaya awamu hii..kwa watu kukumbushwa madeni na ukatishaji pesa na kutolipa kodi...
Huko kwenu ni Kiwanda cha majizi
Ngj awamu fulani ipite na wao watakumbushwa yao

Ova
 
Muda wote anaimba,"noni,noni,noni"[emoji444][emoji445][emoji443][emoji16][emoji16]
Huyu Peter Noni ni balaa
Rafu zote yumo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Unaweza ukawa na nia nzuri ya kutuhabarisha, umekosea ulipoegemea upande flani na kutoa huku kabisa!
 
ala kumbe mafisadi yamo within.....
 
Ngoja tumulize ...@cocochanel

Ova
Hao praise team huwa hawana majibu yenye akili. Sana sana atakuja kuandika upupu tu.

In case hujagundua kitu, huyo kijana cocochanel siku hizi kaacha kile kibwagizo chake cha Makonda oyeeèee. Naona ameanza kuamka toka usingizi wa ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…