Likiisha hili....awamu ya 6 itafukua kaburi la uuzwaji wa nyumba za serikali kipindi cha awamu ya 3....Linapokuja suala la kupambana na wakwepa kodi automatically nakuwa upande wa JPM
Matumizi......Wanasiasa Wana matumizi makubwa mzee baba yaani hata wafanyabiashara Wana subiriHuyu mzee hizo pesa alipeleka wapi hadi abaki tu kurithi wajane wa the R.I.P.s. He is a failed human investment.
Angekuwa Chadema angeishaungana na akina Ruge long time.
Si kubadili mada...ukweli ni kuwa hao wanaoenda kuunga mkono rais mnawachukulia kama wasaliti...hivyo support yenu kwa no1 ni ndogo..Sasa unataka kubadili mada?
Hahahhaha, anakua neutralLINAPOKUJA SUALA LA Trion 2:4 unakuwa upande wa nani???[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]
Sawa.... Hiyo aya ya tatu kumbe serikali inapanga kisha inasema tu...kama ni hivyo nchi zote zingekuwa juu kiuchumi...Watu wana hasira ubabe mwingi, vyama vyao wanavyoviamini vinanyanyaswa haviruhusiwi kufanya siasa kinyume cha sheria, chaguzi ndogo ni za ccm tu.
Pia kuna watu hawajulikani walipo na serikali haijali na wengine wamepigwa risasi 38 bila uchunguzi hadi kuvuliwa ubunge kibabe.
Uchumi ni mbaya mno na pesa imepungua kwenye mzunguko huku serikali ikija na takwimu feki kuhadaa umma. etc, etc.
Sasa nafikiri umeelewa sababu.
HatariDuh...namna gani pale
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shuti limepasua mpk nyavuHatari
Aisee!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shuti limepasua mpk nyavu
Ova
Mak---- oyyyy
Usisahau kutembelea pyramid basi Jpo urudi na kumbukumbu
Ova
Rais anahusikaje na mikopo ya watu Benk?Kumekucha!
Steven Wasira,mmoja wa wadaiwa sugu wa mfuko wa Commodity Import Support amesema hatalipa deni hilo kamwe na kwamba yeye si mmoja wa wadaiwa wa mabilioni hayo.
Wasira ambaye anakiri kukopa milioni mia moja miaka ya tisini,anasema alikuwa na makubaliano ya kulipa benki ya T.I.B, na kwamba makubaliano hayo yalifanywa wakati Mkurugenzi wa Benki hiyo,na mtuhumiwa wa ufisadi,bwana Peter Noni akiwa mamlakani.
Cha ajabu,Benki hakuna kumbukumbu za kulipa deni kama Wasira anavyosema alilipa, na hana hata barua ya Benki kuonyesha kwamba imethibitisha kwamba kalipa na hadaiwi, wasira ana maneno tu hana documents za benki kuonyesha uthibitisho kwamba hadaiwi,je mchezo ulichezwa hela ikarudi kwa wasira,hivyo Wasira anaweza kuwa ametakatisha pesa?
Muda wote anaimba "noni,noni,noni"
Je Wasira na kundi lake la awamu ya tano walikuwa wanashinikiza na kuwatisha watendaji wawafutie madeni yao kiaina? Anasema aliachana na kampuni iliyokopa akaenda kufanya siasa,sasa kwa nini Benki au yeye aambiwe na Benki aiandikie ili ifute deni wakati yeye si mtumishi wa kampuni ya SIZYA COLD STORAGE?
Wasira alikopa milioni 100 miaka ya tisini,anataka alipe hizo pesa hivyo hivyo bila riba! Amekopa miaka 30 iliyopita?!
Haiwezekani, akamatwe na apewe kesi ya uhujumu uchumi,tena anamgomea Rais wa Jamhuri ya Muungano ! Anajiamini nini huyu mtu?hajui hii ni awamu ya tano!
Asomeshwe namba,
MZEE WASIRA MIHADARATI INAMPOTEZAKumekucha!

Wewe ni zero Brain kupindukia, tangu lini Rais akahusika na mikopo ya watu Benk?Linapokuja suala la kubana wabadhilifu na washenzi nakuwa na JPM upande mmoja
Ukiogopa ya Wasira ya Pinda jee??Alipe tu hatuangalii makunyazi yake tunataka hela yetu.
Likiisha hili....awamu ya 6 itafukua kaburi la uuzwaji wa nyumba za serikali kipindi cha awamu ya 3....
Hapo tutawajua akina Sundi Malomo(Rip Muhingo Rweyemamu)
Umeingia mkenge mkuu. Jiwe hajawahi pambana na wakwepa kodi bali anapambana na mahasimu wake wa kisiasa. Nyuma ya pazia utakuta Wassira yuko team nyingine. Tunahitaji mtu anayepambana na ufisadi kwa utashi na sio kutumia vita vya ufisadi km fimbo ya kuwachapia wapinzani wake !Linapokuja suala la kupambana na wakwepa kodi automatically nakuwa upande wa JPM
Nyumba zitarudishwa baada ya kura 2020, January 2021 zinarudishwa zote kwani walikuwa na mkataba wa kutokuuza au kubadilisha chochote mpaka baada ya miaka 25!!!!!!! Kama kuna aliyeuza itakula kwao! JPM huyo! hana simile na mali za Taifa/Umma.