Wassira amgomea JPM, asema halipi deni la Commodity Import Support. Akataa wito, Task Force kutuma Polisi. Yeye adai yuko tayari kupigwa pingu!

Wassira amgomea JPM, asema halipi deni la Commodity Import Support. Akataa wito, Task Force kutuma Polisi. Yeye adai yuko tayari kupigwa pingu!

Linapokuja suala la kupambana na wakwepa kodi automatically nakuwa upande wa JPM
Likiisha hili....awamu ya 6 itafukua kaburi la uuzwaji wa nyumba za serikali kipindi cha awamu ya 3....

Hapo tutawajua akina Sundi Malomo(Rip Muhingo Rweyemamu)
 
JPM awabane Tu hawa wazee wasimtishe na pande zao za siasa sijui team nani kwanza sasa hivi hawana nguvu yoyote ya kisiasa na hawawezi kumtisha JPM.
Wameziba nafasi za wafanyabiashara halisi Kwa nafasi zao za kisiasa ili wachukue mikopo na wakaitafuna badala ya kufanya biashara, wabanwe walipe ndio waleta umaskini hawa, hizi pesa ni nyingi serikali ikikamata mali zao hawa na kuziuza watapata mitaji ya kutosha kuwakopesha wamachinga.
Namkumbusha JPM kuna pesa zingine za mkopo alitoa Kikwete maarufu kama mabilioni ya Kikwete na zenyewe walipeana wanasiasa wabanwe wazilipe ndio tutapata pesa za kukopesha wamachinga
 
Huyu mzee hizo pesa alipeleka wapi hadi abaki tu kurithi wajane wa the R.I.P.s. He is a failed human investment.
Angekuwa Chadema angeishaungana na akina Ruge long time.
Matumizi......Wanasiasa Wana matumizi makubwa mzee baba yaani hata wafanyabiashara Wana subiri

Ova
 
Watu wana hasira ubabe mwingi, vyama vyao wanavyoviamini vinanyanyaswa haviruhusiwi kufanya siasa kinyume cha sheria, chaguzi ndogo ni za ccm tu.
Pia kuna watu hawajulikani walipo na serikali haijali na wengine wamepigwa risasi 38 bila uchunguzi hadi kuvuliwa ubunge kibabe.
Uchumi ni mbaya mno na pesa imepungua kwenye mzunguko huku serikali ikija na takwimu feki kuhadaa umma. etc, etc.
Sasa nafikiri umeelewa sababu.
Sawa.... Hiyo aya ya tatu kumbe serikali inapanga kisha inasema tu...kama ni hivyo nchi zote zingekuwa juu kiuchumi...
 
Mak---- oyyyy
Usisahau kutembelea pyramid basi Jpo urudi na kumbukumbu

Ova

Nimeshawaambia nipo likizo kwa Malkia.. nafaidi matunda ya kazi ya mikono yangu.

Nikuletee chokoleti ipi unayopenda haswa?
 
Kumekucha!

Steven Wasira,mmoja wa wadaiwa sugu wa mfuko wa Commodity Import Support amesema hatalipa deni hilo kamwe na kwamba yeye si mmoja wa wadaiwa wa mabilioni hayo.

Wasira ambaye anakiri kukopa milioni mia moja miaka ya tisini,anasema alikuwa na makubaliano ya kulipa benki ya T.I.B, na kwamba makubaliano hayo yalifanywa wakati Mkurugenzi wa Benki hiyo,na mtuhumiwa wa ufisadi,bwana Peter Noni akiwa mamlakani.

Cha ajabu,Benki hakuna kumbukumbu za kulipa deni kama Wasira anavyosema alilipa, na hana hata barua ya Benki kuonyesha kwamba imethibitisha kwamba kalipa na hadaiwi, wasira ana maneno tu hana documents za benki kuonyesha uthibitisho kwamba hadaiwi,je mchezo ulichezwa hela ikarudi kwa wasira,hivyo Wasira anaweza kuwa ametakatisha pesa?

Muda wote anaimba "noni,noni,noni"

Je Wasira na kundi lake la awamu ya tano walikuwa wanashinikiza na kuwatisha watendaji wawafutie madeni yao kiaina? Anasema aliachana na kampuni iliyokopa akaenda kufanya siasa,sasa kwa nini Benki au yeye aambiwe na Benki aiandikie ili ifute deni wakati yeye si mtumishi wa kampuni ya SIZYA COLD STORAGE?

Wasira alikopa milioni 100 miaka ya tisini,anataka alipe hizo pesa hivyo hivyo bila riba! Amekopa miaka 30 iliyopita?!

Haiwezekani, akamatwe na apewe kesi ya uhujumu uchumi,tena anamgomea Rais wa Jamhuri ya Muungano ! Anajiamini nini huyu mtu?hajui hii ni awamu ya tano!

Asomeshwe namba,
Rais anahusikaje na mikopo ya watu Benk?
Na nyie kuweni na akili hata kidogo
 
MZEE WASIRA MIHADARATI INAMPOTEZA
 
Linapokuja suala la kubana wabadhilifu na washenzi nakuwa na JPM upande mmoja
Wewe ni zero Brain kupindukia, tangu lini Rais akahusika na mikopo ya watu Benk?
Yeye ni Meneja wa Benk? Mikopo ina masharti yake, hakuna mkopo bila dhamana, hiyo ni kazi ya Bank na Mahakama, Rais anakujaje? Kuishi kote huko ulaya, kichwani uko mweupe hivyo
 
Likiisha hili....awamu ya 6 itafukua kaburi la uuzwaji wa nyumba za serikali kipindi cha awamu ya 3....

Hapo tutawajua akina Sundi Malomo(Rip Muhingo Rweyemamu)

Nyumba zitarudishwa baada ya kura 2020, January 2021 zinarudishwa zote kwani walikuwa na mkataba wa kutokuuza au kubadilisha chochote mpaka baada ya miaka 25!!!!!!! Kama kuna aliyeuza itakula kwao! JPM huyo! hana simile na mali za Taifa/Umma.
 
Linapokuja suala la kupambana na wakwepa kodi automatically nakuwa upande wa JPM
Umeingia mkenge mkuu. Jiwe hajawahi pambana na wakwepa kodi bali anapambana na mahasimu wake wa kisiasa. Nyuma ya pazia utakuta Wassira yuko team nyingine. Tunahitaji mtu anayepambana na ufisadi kwa utashi na sio kutumia vita vya ufisadi km fimbo ya kuwachapia wapinzani wake !
 
Okay.....kumbe awamu ya 6 inaingia mwaka 2020....

Let's wait and see!

Back
Top Bottom