britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Tatizo lako unaparamiaga mambo bila kuelewa mantiki yake, naishia hapaWewe ni zero Brain kupindukia, tangu lini Rais akahusika na mikopo ya watu Benk?
Yeye ni Meneja wa Benk? Mikopo ina masharti yake, hakuna mkopo bila dhamana, hiyo ni kazi ya Bank na Mahakama, Rais anakujaje? Kuishi kote huko ulaya, kichwani uko mweupe hivyo
Wewe siyo mwizi? yaani hata kuibia tu drsn, upate marks za juu. unanyoosha vidole tu kwa wengine.Hao ndio wana siasa wa Tanzania. Wengi ni wezi kweli kweli wa mali ya umma. Ndio maana majungu na fitna yamekuwa msingi wao imara wa kuendelea kushiriki siasa. Hawana kipya cha kuongeza.
Hizo kodi huwa zinatumikaje?Linapokuja suala la kupambana na wakwepa kodi automatically nakuwa upande wa JPM
Sema tu umechemka sana mkuu, mantiki ipo wazi, ni Wasira alikopa mil 100 Benk na amegoma kurejesha.Tatizo lako unaparamiaga mambo bila kuelewa mantiki yake, naishia hapa
Wewe ni mpumbavu hasa, Rais ni nani ktk Huo mkopo wa Wasira? Ndo alisaini ili Wasira apewe mkopo? Hujui kuwa Urais ni taasisi Binafsi inayojitegemea?Kumekucha!
Steven Wasira,mmoja wa wadaiwa sugu wa mfuko wa Commodity Import Support amesema hatalipa deni hilo kamwe na kwamba yeye si mmoja wa wadaiwa wa mabilioni hayo.
Wasira ambaye anakiri kukopa milioni mia moja miaka ya tisini,anasema alikuwa na makubaliano ya kulipa benki ya T.I.B, na kwamba makubaliano hayo yalifanywa wakati Mkurugenzi wa Benki hiyo,na mtuhumiwa wa ufisadi,bwana Peter Noni akiwa mamlakani.
Cha ajabu,Benki hakuna kumbukumbu za kulipa deni kama Wasira anavyosema alilipa, na hana hata barua ya Benki kuonyesha kwamba imethibitisha kwamba kalipa na hadaiwi, wasira ana maneno tu hana documents za benki kuonyesha uthibitisho kwamba hadaiwi,je mchezo ulichezwa hela ikarudi kwa wasira,hivyo Wasira anaweza kuwa ametakatisha pesa?
Muda wote anaimba "noni,noni,noni"
Je Wasira na kundi lake la awamu ya tano walikuwa wanashinikiza na kuwatisha watendaji wawafutie madeni yao kiaina? Anasema aliachana na kampuni iliyokopa akaenda kufanya siasa,sasa kwa nini Benki au yeye aambiwe na Benki aiandikie ili ifute deni wakati yeye si mtumishi wa kampuni ya SIZYA COLD STORAGE?
Wasira alikopa milioni 100 miaka ya tisini,anataka alipe hizo pesa hivyo hivyo bila riba! Amekopa miaka 30 iliyopita?!
Haiwezekani, akamatwe na apewe kesi ya uhujumu uchumi,tena anamgomea Rais wa Jamhuri ya Muungano ! Anajiamini nini huyu mtu?hajui hii ni awamu ya tano!
Asomeshwe namba,
Katika mambo machache ambayo naweza kumuunga mkono Magufuli, hili ni moja.Linapokuja suala la kubana wabadhilifu na washenzi nakuwa na JPM upande mmoja
Povu,hiyo benki ni Mali ya Serikali,na Rais ndio Kiongozi Mkuu wa Serikali,na hizo pesa ambazo wasira kagoma kulipa ni Mali ya serikaliWewe ni mpumbavu hasa, Rais ni nani ktk Huo mkopo wa Wasira? Ndo alisaini ili Wasira apewe mkopo? Hujui kuwa Urais ni taasisi Binafsi inayojitegemea?
Mwanasheria mmoja wa Taasisi ya Bima(sisemi Bima ya Afya au NIC) miaka ya karibu na chaguzi za juzi aliambiwa jambo hilo, akakataa,akapigwa zengwe,ka-resign miaka hiyo ya juziKatika mambo machache ambayo naweza kumuunga mkono Magufuli, hili ni moja.
Ila lisifanywe kisiasa tu.
Sijui details za kesi ya Wasira, lakini najua wazee wengi wa CCM wame abuse sana power.
Kuna jamaa mmoja alikuwa mhasibu mkubwa sana NIC (Bima).
Nilikuwa naongea naye siku moja kwenye msiba, story zikaenda, zikafika kwenye abuse of power (sijui zilifikaje, lakini marehemu Mzee Bob Makani alikuwepo karibu hapo, so no wonder).
Basi, yule mzee wa Bima akasema, kipindi cha "chama kushika hatamu", alifuatwa na Kawawa, akaombwa mkopo na Kawawa, Katibu Mkuu wa CCM, kwa niaba ya chama.
Akasema, sawa, leteni collateral, leteni documents, tutaziangalia. Kawawa akamjia juu kiaina, akamwambia, chama ndicho kilichowezesha hii kampuni ya Bima kuwa ya wazalendo, the integrity of the party is more than enough collateral kijana.
Jamaa akaona kama Kawawa anamtisha, akasema isiwe tabu, kubishana na wazee si kitu kizuri.
Akasaini mihela itolewe, Kawawa apewe.
Bada ya muda, huyu mhasibu akafuatilia lile deni kuona kama chama kinalipa, akaona chama hakilipi.
Akamtafuta sana Kawawa, akawa hampati. Siku moja baada ya kuzungushwa sana akampata.
Akamwambia, Mzee, naulizia lile deni, naona halilipwi.
Kawawa akamjibu, akamwambia "Kijana, kwani hapo kwenye shirika lenu hamna bad loans ledger ? (kitabu cha kuandika madeni ambayo hayalipiki katika mchakato wa kuyasamehe). Akajibiwa tunayo hiyo ledger. Akaambiwa tuweke humo.Hatutaki mjadala zaidi.
Jamaa akajiona bonge la bwege. Na hapo ndipo habari za lile deni zilipoishia.
Wazee wa CCM wamekula sana hela za umma katika mtindo huu, hususan nyakati za uchaguzi.
So, as much as I dislike Magufuli's style of leadership, kwenye hili, kama anafanya kwa njia iliyo fair bila visasi vya kisiasa, namuunga mkono kabisa.
Wassira atoe ushahidi kwamba alilipa deni.
Najua mkuu, najua haya yapo mpaka leo. Kwa sababu hawa wakuu ni ndugu zetu na tunaongea nao masahibu wanayokutana nayo makazini huko.Mwanasheria mmoja wa Taasisi ya Bima(sisemi Bima ya Afya au NIC) miaka ya karibu na chaguzi za juzi aliambiwa jambo hilo, akakataa,akapigwa zengwe,ka-resign miaka hiyo ya juzi
Hata kama ni ya serikali lakini Rais hahusiki, zipo sehemu za Rais kuhusika siyo mikopo ,kwani alipewa bila utaratibu wa kisheria?Povu,hiyo benki ni Mali ya Serikali,na Rais ndio Kiongozi Mkuu wa Serikali,na hizo pesa ambazo wasira kagoma kulipa ni Mali ya serikali
Mahakama CCM wanasema zinachukua muda mrefu, ifanyike kama ya Lissu,atajitetea akiwa gerezaniHata kama ni ya serikali lakini Rais hahusiki, zipo sehemu za Rais kuhusika siyo mikopo ,kwani alipewa bila utaratibu wa kisheria?
Kinachohusika kumdai Wasira ni sheria husika siyo Rais kuingilia, zipo Mahakama.
Nyie watu ni wajinga hasa.
Jamii yetu ina kasoro. Imejaa wezi wanaojiita wazalendo. Mimi sio mmoja wao. Akalipe tu hela za umma. Hakuna namna.Wewe siyo mwizi? yaani hata kuibia tu drsn, upate marks za juu. unanyoosha vidole tu kwa wengine.
na kama hujawahi kuiba una majungu na mpaka sasa utakuwa maskini sana.