Freesoule
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 269
- 272
Aaah, hajaitwa mtu hata kidogo. Anyway, ngoja nikabadilishe maana inawezekana wengine wengi kama wewe wakapata hisia tofautiusimwite binadamu mwenzako hilo jina! sko vema hata kidogo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah, hajaitwa mtu hata kidogo. Anyway, ngoja nikabadilishe maana inawezekana wengine wengi kama wewe wakapata hisia tofautiusimwite binadamu mwenzako hilo jina! sko vema hata kidogo!
Kweli kabisa, kama vile fisadi Chenge, Tibaijuka, Ngeleja, n.k.Yamo ma-akina Wassira mengi sana humo ndani ya CCM... huyu kama anataka kujilipua hiyo ni shauri zake.
Licha ya uchafu wote huko, wanapewa nafasi wajisafishe kimya kimya, halafu unaleta kiburi? Hajui kwamba huu ndio wakati wa mavuno tukielekea 2020? Huyu mzee akili zimemruka?
Kwa hadhi aliyo nayo huko, nina hakika ataingia mlango wa pili akamwage chozi, kama mwenzie Lowassa!
Genuinely hizi fedha ni wengi ''walikopa'' lakini hawakulipa. Kipindi hicho watu wakubwa wengi walikuwa wanatonyana kuwa kuna fedha za ''bure'' na walizizomba kweli kweli. Walianzisha vikampuni uchwara ili tu wapate mgao. Nyingi ya kampuni zilizokopa kipindi kile zimekufa na wengi wanataka kesi ziende mahakamani kwa sababu wanajua sheria haziwabana. Lakini nampongeza sana rais Magufuli kwani amejua lilipo loophole na anatumia njia stahiki kudai fedha zetu. Ndiyo.. kama wanajidai wahuni basi njia za kihuni zitatumika kurudisha mali waliyoiba.Visasi visasi visasi visasi hao ni team membe ole wao watakaomuonea huruma lisu
Vipi linapokuja suala la trioni kupotea tena mikononi mwa Ikulu unasemaje?Linapokuja suala la kubana wabadhilifu na washenzi nakuwa na JPM upande mmoja
Mh!!! Hapana mi sipo nae ... Sa mbona wale wakwepa Kodi wanao abudu itikadi ya awamu ya tano hawawajibishwi bado ukiwa pamoja nae na wewe utakua mnafiki ni bora ujitoe mapema kama kweli we mpenda hakiLinapokuja suala la kubana wabadhilifu na washenzi nakuwa na JPM upande mmoja
Ni kweli. Hata mimi nimeangalia clip anayojieleza. Inaonekana (kama anasema kweli) hao waliokuwa benki ndiyo walisunda hizo fedha. Walimdai na alipolipa wakazichukuwa juu kwa juu. Hawakuweka kwenye rekodi. Hii benki kipindi hicho cha Kikwete watu walikuwa wanajichotea tu.Habari yako imekaa kichochezi sana, nimesoma mwananchi online amejieleza vizuri sana japo maelezo yake yanajikanganya.
Linapokuja suala la kubana wabadhilifu na washenzi nakuwa na JPM upande mmoja
Yaani kuna watu hata kifanyike nn nchini yeye anapinga...jamani!!!! What's wrong? Ni laana au? Ninyi baadhi ya watu wa upande wa pili mna matatizo gani?
Ni kweli. Hata mimi nimeangalia clip anayojieleza. Inaonekana (kama anasema kweli) hao waliokuwa benki ndiyo walisunda hizo fedha. Walimdai na alipolipa wakazichukuwa juu kwa juu. Hawakuweka kwenye rekodi. Hii benki kipindi hicho cha Kikwete watu walikuwa wanajichotea tu.
Alipe tu pesa za wananchi. Aache kutapatapa dawa ya deni ni kulipa siyo kuonewa huruma.
Kulingana na hiyo clip hakuonyesha. Na vile vile bado ni maelezo ya upande mmoja, hivyo anaweza kuwa anasema ukweli au anatoa maelezo ya kujinasua tu.Ameonyesha deposit slip?
Yaani kuna watu hata kifanyike nn nchini yeye anapinga...jamani!!!! What's wrong? Ni laana au? Ninyi baadhi ya watu wa upande wa pili mna matatizo gani?
Kulingana na hiyo clip hakuonyesha. Na vile vile bado ni maelezo ya upande mmoja, hivyo anaweza kuwa anasema ukweli au anatoa maelezo ya kujinasua tu.
Ndiyo uchafu Tz upo mwingi hata hao ccm mafisadi wamejaa huko wakina kikwete na wenzake huko..ufisadi tz ulishaota mizizi na ni ngumu kuutokomeza kwa haraka sababu ndo hivyo kuna wengine ni wakuu hivyo si rahisi jpm kuwashika sharubu watu kama jk...but atleast awamu hii watu wa aina hii kuanzia huku chini wanaona cha moto ni tofauti na awamu zilizopita....yawezekana hata awamu zijazo hao wakubwa wakafikiwa na wao kukiona cha mtema kuni....but mnachonishangaza baadhi yenu ninyi upande wa pili ni kupinga almost kila analofanya hata kama lina manufaa kwa nchi...kwa maana nyingine ni chuki dhidi ya rais mnaidhihirisha waziwazi...ndiyo tunafahamu ninyi ni wapinzani but not to such extent....kama mnajenga chuki dhidi yake naye atajenga chuki dhidi yenu.Mkuu kwa bahati mbaya tuna akili zetu timamu hatutekwi na propaganda mfu. Mahakama ya mafisadi ilitangazwa kufungwa kisa haina wateja. Ukweli ni kuwa msimamizi wa zoezi la mafisadi naye ni mchafu, hivyo automatically hana nguvu ya kupambana na ufisadi zaidi ya kupambana na matumizi ya neno fisadi. Taja fisadi aliyechukuliwa hatua awamu hii ya tano ikiwa ni mwaka wa nne huu.