Wassira amgomea JPM, asema halipi deni la Commodity Import Support. Akataa wito, Task Force kutuma Polisi. Yeye adai yuko tayari kupigwa pingu!

Hao praise team huwa hawana majibu yenye akili. Sana sana atakuja kuandika upupu tu.

In case hujagundua kitu, huyo kijana cocochanel siku hizi kaacha kile kibwagizo chake cha Makonda oyeeèee. Naona ameanza kuamka toka usingizi wa ujinga.
Anadai yuko likizo kwa malkia[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Yaani kuna watu hata kifanyike nn nchini yeye anapinga...jamani!!!! What's wrong? Ni laana au? Ninyi baadhi ya watu wa upande wa pili mna matatizo gani?
Watu wana hasira ubabe mwingi, vyama vyao wanavyoviamini vinanyanyaswa haviruhusiwi kufanya siasa kinyume cha sheria, chaguzi ndogo ni za ccm tu.

Pia kuna watu hawajulikani walipo na serikali haijali na wengine wamepigwa risasi 38 bila uchunguzi hadi kuvuliwa ubunge kibabe.

Uchumi ni mbaya mno na pesa imepungua kwenye mzunguko huku serikali ikija na takwimu feki kuhadaa umma. etc, etc.
Sasa nafikiri umeelewa sababu.
 
Hakuna lolote zaidi ya mapichapicha tu!!!
 
Kumekucha!

Steven Wasira,mmoja wa wadaiwa sugu wa mfuko wa Commodity Import Support amesema hatalipa deni hilo kamwe na kwamba yeye si mmoja wa wadaiwa wa mabilioni hayo.

Wasira ambaye anakiri kukopa milioni mia moja miaka ya tisini,anasema alikuwa na makubaliano ya kulipa benki ya T.I.B, na kwamba makubaliano hayo yalifanywa wakati Mkurugenzi wa Benki hiyo,na mtuhumiwa wa ufisadi,bwana Peter Noni akiwa mamlakani.

Cha ajabu,Benki hakuna kumbukumbu za kulipa deni kama Wasira anavyosema alilipa, na hana hata barua ya Benki kuonyesha kwamba imethibitisha kwamba kalipa na hadaiwi, wasira ana maneno tu hana documents za benki kuonyesha uthibitisho kwamba hadaiwi,je mchezo ulichezwa hela ikarudi kwa wasira,hivyo Wasira anaweza kuwa ametakatisha pesa?

Muda wote anaimba "noni,noni,noni"

Je Wasira na kundi lake la awamu ya tano walikuwa wanashinikiza na kuwatisha watendaji wawafutie madeni yao kiaina? Anasema aliachana na kampuni iliyokopa akaenda kufanya siasa,sasa kwa nini Benki au yeye aambiwe na Benki aiandikie ili ifute deni wakati yeye si mtumishi wa kampuni ya SIZYA COLD STORAGE?

Wasira alikopa milioni 100 miaka ya tisini,anataka alipe hizo pesa hivyo hivyo bila riba! Amekopa miaka 30 iliyopita?!

Haiwezekani, akamatwe na apewe kesi ya uhujumu uchumi,tena anamgomea Rais wa Jamhuri ya Muungano ! Anajiamini nini huyu mtu?hajui hii ni awamu ya tano!

Asomeshwe namba,
Katiba katiba katiba mpya,itatupelekea kua na taasisi makini na zenye tija..zaidi anazidi tengeneza maugomvi yasiyo namana..hua nawaza akiondoka yeye itakuaje atakayekuja.ndomana nampa chapue lisu anaweka wazi mambo kuliko huyu mviziaji
 
Kwani yeye ni msafi kiasi gani kama si tabia yake ya visasi. Kama mwanaume kweli amnguse change, dr dau, jk nk.
Hata akiwagusa hao uliowataja bado hautamkubali tu!!
 
Kumekucha!

Steven Wasira,mmoja wa wadaiwa sugu wa mfuko wa Commodity Import Support amesema hatalipa deni hilo kamwe na kwamba yeye si mmoja wa wadaiwa wa mabilioni hayo.

Wasira ambaye anakiri kukopa milioni mia moja miaka ya tisini,anasema alikuwa na makubaliano ya kulipa benki ya T.I.B, na kwamba makubaliano hayo yalifanywa wakati Mkurugenzi wa Benki hiyo,na mtuhumiwa wa ufisadi,bwana Peter Noni akiwa mamlakani.

Cha ajabu,Benki hakuna kumbukumbu za kulipa deni kama Wasira anavyosema alilipa, na hana hata barua ya Benki kuonyesha kwamba imethibitisha kwamba kalipa na hadaiwi, wasira ana maneno tu hana documents za benki kuonyesha uthibitisho kwamba hadaiwi,je mchezo ulichezwa hela ikarudi kwa wasira,hivyo Wasira anaweza kuwa ametakatisha pesa?

Muda wote anaimba "noni,noni,noni"

Je Wasira na kundi lake la awamu ya tano walikuwa wanashinikiza na kuwatisha watendaji wawafutie madeni yao kiaina? Anasema aliachana na kampuni iliyokopa akaenda kufanya siasa,sasa kwa nini Benki au yeye aambiwe na Benki aiandikie ili ifute deni wakati yeye si mtumishi wa kampuni ya SIZYA COLD STORAGE?

Wasira alikopa milioni 100 miaka ya tisini,anataka alipe hizo pesa hivyo hivyo bila riba! Amekopa miaka 30 iliyopita?!

Haiwezekani, akamatwe na apewe kesi ya uhujumu uchumi,tena anamgomea Rais wa Jamhuri ya Muungano ! Anajiamini nini huyu mtu?hajui hii ni awamu ya tano!

Asomeshwe namba,
Mwaka 1990 exchange rate ya shillingi kwenda dollar ilkuwa TZS 20 hivyo mkopo wake ulikuwa wa thamani ya Us$ 100,000,000/20 = USD 5,000,000.

Thamani ya huo kopo kwa leo ni US$ 5,000,000 X TZS 2180 = TZS 10.9 billion
 
Miaka ya 90 alikopa 100m? Daaaa mbona hayupo kabisa kwenye list ya matajiri TZ? Pesa Aliwekeza Kwenye "LA YUYU"?
 
Mkuu asikupoteze Huyo JPM, hivi kule kwenye dini Lucifer ana weza kukuandalia makao mbinguni?
Ili watu washughulikiwe uporaji wao inabidi kuiondoa CCM madarakani kisha sheria (ambayo ipo siku zote) ifuate mkondo. Huyo unayesema uko upande wake ndio hatari zaidi.
Kamanda kunywa maji baridi utulie
 
Kumekucha!

Steven Wasira,mmoja wa wadaiwa sugu wa mfuko wa Commodity Import Support amesema hatalipa deni hilo kamwe na kwamba yeye si mmoja wa wadaiwa wa mabilioni hayo.

Wasira ambaye anakiri kukopa milioni mia moja miaka ya tisini,anasema alikuwa na makubaliano ya kulipa benki ya T.I.B, na kwamba makubaliano hayo yalifanywa wakati Mkurugenzi wa Benki hiyo,na mtuhumiwa wa ufisadi,bwana Peter Noni akiwa mamlakani.

Cha ajabu,Benki hakuna kumbukumbu za kulipa deni kama Wasira anavyosema alilipa, na hana hata barua ya Benki kuonyesha kwamba imethibitisha kwamba kalipa na hadaiwi, wasira ana maneno tu hana documents za benki kuonyesha uthibitisho kwamba hadaiwi,je mchezo ulichezwa hela ikarudi kwa wasira,hivyo Wasira anaweza kuwa ametakatisha pesa?

Muda wote anaimba "noni,noni,noni"

Je Wasira na kundi lake la awamu ya tano walikuwa wanashinikiza na kuwatisha watendaji wawafutie madeni yao kiaina? Anasema aliachana na kampuni iliyokopa akaenda kufanya siasa,sasa kwa nini Benki au yeye aambiwe na Benki aiandikie ili ifute deni wakati yeye si mtumishi wa kampuni ya SIZYA COLD STORAGE?

Wasira alikopa milioni 100 miaka ya tisini,anataka alipe hizo pesa hivyo hivyo bila riba! Amekopa miaka 30 iliyopita?!

Haiwezekani, akamatwe na apewe kesi ya uhujumu uchumi,tena anamgomea Rais wa Jamhuri ya Muungano ! Anajiamini nini huyu mtu?hajui hii ni awamu ya tano!

Asomeshwe namba,

Huyu mzee naona mnataka afe kabla ya siku zake... Maskini, siku ya kufa nyani miti yote huteleza
 
Huyu mzee hizo pesa alipeleka wapi hadi abaki tu kurithi wajane wa the R.I.P.s. He is a failed human investment.
Angekuwa Chadema angeishaungana na akina Ruge long time.
 
Back
Top Bottom