Wassira asema CHADEMA iliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni Sangara. Asisitiza Serikali 3 ni mwiko

Wassira asema CHADEMA iliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni Sangara. Asisitiza Serikali 3 ni mwiko

Akihojiwa TBC kada wa CCM mzee Wassira amesema Chadema ndio waliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni sangara tena Zitto Kabwe akiwemo.

Chadema waliwaambia wananchi wa Kanda ya Ziwa wawazomee wanaovaa sare za kijani

Zitto Kabwe alimpinga vikali na kumwambia Operesheni Sangara ililenga kuwaondolea umaskini wananchi wa Bunda Grits na Mwanza waliokuwa wanaongoza kwa ufukara nchini.

Pia mzee Wassira amesema kama lengo la Chadema kudai Katiba mpya ni kutaka serikali 3 basi hizo ni ndoto za mchana kwani CCM itapinga kwa nguvu zake zote.

Chanzo: TBC
Kadi yake ya NCCR ameirudisha?
 
Duh! Mzee Wasira bado yupo? Nakumbuka ile Hotuba ya Mh. Makongoro Nyerere…. hahahaha…. haichoshi kila nikiisikiliza nacheka tu mpaka machozi…. inaonekana kama utani lakini ni kweli kabisa.
Njaa inawaibua wengi ndugu acha kabisaa !!
 
Back
Top Bottom