Wassira at 45 Minutes: Mivutano Bunge la Katiba ndio uimara wake.

Wassira at 45 Minutes: Mivutano Bunge la Katiba ndio uimara wake.

Uchaguzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
914
Reaction score
171
Mhe. Stephen Wassira akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema mvutano na mabishano ya wajumbe wa Bunge la Katiba ndio uimara wa chombo hicho ili kufikia maridhiano.

Ameongeza kuwa kwa Tafasri ya Sheria ya Mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba inao uwezo wa Kujadili, Kubadili, na hata kurekebisha kipengele chochote katika Rasmu iliyopo.

Wassira ni mweledi wa kufafanua mambo, kipindi kina mvuto kusikiliza.
 
Ivi kumbe Wassira ni handsome ivi? Tangu lini akawa Spokeman wa SIRIKALI?
 
Hivi hiki kipindi ni kwa ajili ya mawaziri au maana sionagi watu wengine zaidi ya viongozi wa serikali
 
Nipo makini na channel ninayoipenda sana ITV nikiangalia Wassira na Buhohela wakinipa elimu ya kutosha juu ya Bunge Maalumu la Katiba.

Wassira anatoa nondo Safi sana.
 
Sasa maoni ya wananchi walio wengi munyatupa?. Mh. Wassira, hii katiba haitopita kama munayapinda maoni ya wanachi. Nahili ndilo litakuwa kaburi la CCM. Waulize wakenya na KANU yao.
 
Hivi hiki kipindi ni kwa ajili ya mawaziri au maana sionagi watu wengine zaidi ya viongozi wa serikali

Kamishna polepole anatakiwa aje atufafanulie huu upotoshwaji ambao mh. huyu anautoa
 
Huyo pamoja na uzee wake anachumia ulaji,
Tangu lini Bunge la katiba liwe na mamulaka ya kufumua Rasimu!!!!!!
Hatutaki makanjanja wachumia jamiii zao,
 
Hivi anaposema kero za muungano zinazungumzika mbona anashindwa kueleza kinachoyakwamisha hayo mazungumzo
 
Anasema kwa Serikali 3 Tanganyika itabebeshwa mzigo mkubwa.
 
Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Waziri Mkuu wa Tanzania Bara awe pia Makamu wa pili wa Rais.

Two government system reformed.
 
Wassira ni
Mchumia tumbo
Weita wa IKULU

Acha kejeli kijana, huyo ni sawa na mzazi Wako.
Lugha hizi ndizo zinazoshusha hadhi ya chama chenu, vijana wa Bavicha jifunzeni kuwa na Maadili Mungu atawabariki.
 
Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Waziri Mkuu wa Tanzania Bara awe pia Makamu wa pili wa Rais.

Two government system reformed.
Long time chama kimoja ndio ilikuwa hivi, ulivyokuja mfumo wa vyama vingi ndio ukaja utaratibu wa mgombea mwenzwa
 
Nilivyowasha TV nikakashutuka, maana nilifikiri ni Nyala ya Serikali imeletwa ITV.

Haya ni maumivu ya Kalenga, hapo ulipo unaona maruweruwe kwa kipigo cha 79.9% dhidi ya 20%.

Subiria kipigo Chalinze 99% upate za uso mfululizo.
Kalale sasa.
 
Anasema kwa Serikali 3 Tanganyika itabebeshwa mzigo mkubwa.

Ni kweli kabisa hatuwezi kubeba gharama za serikali 3 kunufaisha wanasiasa na vyeo vyao,tunataka kodi zetu zihusike na matatizo yetu ya umasikini,afya,elimu na kilimo.
 
Kuwa mstaarabu adabu yenu ndio matokeo mliyoyapata kalenga.

Afadhali umempa somo huyu kijana,Tatizo hawa vijana wanafikiri siasa ni kutukana au kumchafua mtu, kumbe siasa ni kujenga hoja na kuitetea, endelea kutoa darasa ipo siku watajitambua.
 
Haya ni maumivu ya Kalenga, hapo ulipo unaona maruweruwe kwa kipigo cha 79.9% dhidi ya 20%.

Subiria kipigo Chalinze 99% upate za uso mfululizo.
Kalale sasa.

Bila shaka una makengeza ya ubongo, unafikiri kila anayetofautiana na fikra za CCM ni CDM?
 
Back
Top Bottom