Wassira at 45 Minutes: Mivutano Bunge la Katiba ndio uimara wake.

Wassira at 45 Minutes: Mivutano Bunge la Katiba ndio uimara wake.

Nipo makini na channel ninayoipenda sana ITV nikiangalia Wassira na Buhohela wakinipa elimu ya kutosha juu ya Bunge Maalumu la Katiba.

Wassira anatoa nondo Safi sana.

Hizo nondo Zinafaa kujengea hata kibanda umiza
 
Mlolongo wooote wa nini?? Make one, Zanzibar iwe Mkoa. Tumemaliza
 
Ni kweli kabisa hatuwezi kubeba gharama za serikali 3 kunufaisha wanasiasa na vyeo vyao,tunataka kodi zetu zihusike na matatizo yetu ya umasikini,afya,elimu na kilimo.

Hamuwezi kubeba gharama za Serikali 3 ila gharama za wezi na mafisadi wa SISIEM mnaweza kuzibeba.
 
haha yan ukimwangalia wassira unaamin kabsa kua binadam ametokana na nyani...hahaha

Huyo ndie Rais wetu 2015, we endelea kubeza na kudharau.
Mdharau mwiba mguu huota tende.
 
Ivi kumbe Wassira ni handsome ivi? Tangu lini akawa Spokeman wa SIRIKALI?
Yeye anasimamia chai na juisi za ikulu ndio maana akisikia viongozi wa upinzani wanakwenda ikulu huwa anagomba sana kwamba wanafuata hizo. Anaitwa Steven Wassira a.k.a Chaijuisi sio Tyson
 
Yeye anasimamia chai na juisi za ikulu ndio maana akisikia viongozi wa upinzani wanakwenda ikulu huwa anagomba sana kwamba wanafuata hizo. Anaitwa Steven Wassira a.k.a Chaijuisi sio Tyson
Kuchanganyikiwa sio lazima uokote makopo.
Huu ni mwanzo tu.
 
Back
Top Bottom