Hivi hiki kipindi ni kwa ajili ya mawaziri au maana sionagi watu wengine zaidi ya viongozi wa serikali
Hata mimi nimependa appearance yake leo,Ivi kumbe Wassira ni handsome ivi? Tangu lini akawa Spokeman wa SIRIKALI?
Ivi kumbe Wassira ni handsome ivi? Tangu lini akawa Spokeman wa SIRIKALI?
Wassira ni
Mchumia tumbo
Weita wa IKULU
Long time chama kimoja ndio ilikuwa hivi, ulivyokuja mfumo wa vyama vingi ndio ukaja utaratibu wa mgombea mwenzwaRais wa Zanzibar awe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Waziri Mkuu wa Tanzania Bara awe pia Makamu wa pili wa Rais.
Two government system reformed.
Nilivyowasha TV nikakashutuka, maana nilifikiri ni Nyala ya Serikali imeletwa ITV.
Nilivyowasha TV nikakashutuka, maana nilifikiri ni Nyala ya Serikali imeletwa ITV.
Anasema kwa Serikali 3 Tanganyika itabebeshwa mzigo mkubwa.
Kuwa mstaarabu adabu yenu ndio matokeo mliyoyapata kalenga.
Haya ni maumivu ya Kalenga, hapo ulipo unaona maruweruwe kwa kipigo cha 79.9% dhidi ya 20%.
Subiria kipigo Chalinze 99% upate za uso mfululizo.
Kalale sasa.