Pre GE2025 Wassira atawasumbua sana Lissu na watu wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kama CCM imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa. Wasira wanawajua zaidi chadema. Wasira akiongea neno moja CHADEMA 100 mjadala wanauhamishia huko.

Pia Wasira hamungunyi maneno kwa CHADEMA kitu ambacho zinatumika nguvu nyingi kumjibu. Wasira akibonyeza kitufe CHADEMA yote hucheza.

Juzi namuona John Heche akitumia maneno makali na nguvu kujibu hoja ndogo za Wasira.

Pia soma > Pre GE2025 - Stephen Wasira amjibu John Heche kuhusu umri wake kuwa mkubwa. Asema gari ni injini siyo bodi
 
🤣😂🤣😂😂🤣😂😂😂🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂🤣😂😂🤣🤣😂😂🤣.Amka Wewe Kumekucha
 
Ili kauli yako itimie, wampime afya kwanza kabla ccm hamjaanza kumsimamisha kwenye majukwaa ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Kikongwe wa miaka 80 msimuamini,ni mgonjwa ,pale tunaona mwili tunasema ni afya.
 
Walau Kidoti angekuwa M/Mwenyekiti angekuwa na ushawishi kuliko huyo mzee.
 
Kama ccm imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa
Wasira wanawajua zaidi chadema.
Wasira akiongea neno moja chadema 100 mjadala wanauhamishia huko.

Pia wasira hamungunyi maneno kwa chadema kitu ambacho zinatumika nguvu nyingi kumjibu.
Wasira akibonyeza kitufe chadema yote hucheza.
Juzi namuona John Heche akitumia maneno makali na nguvu kujibu hoja ndogo za wasira.
Hivi ulisamehewa ile BAN ya maisha?
 
Ili kauli yako itimie, wampime afya kwanza kabla ccm hamjaanza kumsimamisha kwenye majukwaa ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Kikongwe wa miaka 80 msimuamini,ni mgonjwa ,pale tunaona mwili tunasema ni afya.
Yeye kazi kutia pressha chadema wawe wanakesha na matamko
 
Huyo mzee anaexperience na siasa ameanza kuwa mbunge tangu Lissu ananyonya.
 
Kama ccm imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa
Wasira wanawajua zaidi chadema.
Wasira akiongea neno moja chadema 100 mjadala wanauhamishia huko.

Pia wasira hamungunyi maneno kwa chadema kitu ambacho zinatumika nguvu nyingi kumjibu.
Wasira akibonyeza kitufe chadema yote hucheza.
Juzi namuona John Heche akitumia maneno makali na nguvu kujibu hoja ndogo za wasira.
 
Attachments

  • 5944589-e186e203537d60805677c09c736880b3.mp4
    5.8 MB
Yeye kazi kutia pressha chadema wawe wanakesha na matamko
Hii sura yake,watoto wanamuona wanakimbia!
Sasa walio wengi kupiga kura ni wanawake,watamkimbia wote, na litakuwa ndilo anguko la CCM.
 
Attachments

  • IMG-20250130-WA0066.jpg
    IMG-20250130-WA0066.jpg
    126.4 KB · Views: 2
Kama ccm imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa
Wasira wanawajua zaidi chadema.
Wasira akiongea neno moja chadema 100 mjadala wanauhamishia huko.

Pia wasira hamungunyi maneno kwa chadema kitu ambacho zinatumika nguvu nyingi kumjibu.
Wasira akibonyeza kitufe chadema yote hucheza.
Juzi namuona John Heche akitumia maneno makali na nguvu kujibu hoja ndogo za wasira.
Mimi ninachokiona ni kwamba wewe na huyo wassirà mnasumbuka sana na Chadema.
 
Huyu Mzee Tulikuwa tuna sukuma nae documents enzi zile pale Long room huku akiwa kashika mfuko wa rambo ! Duu ! Tumetoka mbaaliii ! Wakati ule CCM walimpiga kibuti akahamia NCCR Mageuzi ! Jina lake la utani anaitwa Tyson ! Hakawii kurusha ngumi !! Muulize Mzee Kikwete atakwambia !
 
Kama CCM imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa. Wasira wanawajua zaidi chadema. Wasira akiongea neno moja chadema 100 mjadala wanauhamishia huko.

Pia wasira hamungunyi maneno kwa chadema kitu ambacho zinatumika nguvu nyingi kumjibu. Wasira akibonyeza kitufe chadema yote hucheza.

Juzi namuona John Heche akitumia maneno makali na nguvu kujibu hoja ndogo za wasira.
Mzee mnamchosha tu hakuna kitu anaongea akaeleweka ni basi tu ccm mmeamua kumdhalilisha huyo babu.
 
Ili kauli yako itimie, wampime afya kwanza kabla ccm hamjaanza kumsimamisha kwenye majukwaa ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Kikongwe wa miaka 80 msimuamini,ni mgonjwa ,pale tunaona mwili tunasema ni afya.
Trump ni raisi anaeongoza nchi kubwa ya Marekani,akiwa kazidiwa mwaka mmoja na Wasira,na bado leo anaitikisa dunia,vipi Wasira yeye ashindwe nafasi ya chama tu
Wasira na umri wake,bado kuna wanasiasa atawasumbua na watakuja kulilia huku .
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Trump ni raisi anaeongoza nchi kubwa ya Marekani,akiwa kazidiwa mwaka mmoja na Wasira,na bado leo anaitikisa dunia,vipi Wasira yeye ashindwe nafasi ya chama tu
Wasira na umri wake,bado kuna wanasiasa atawasumbua na watakuja kulilia huku .
Haya hapa majibu sahihi! Japo CCM ni wabishi!
Uso unauonaje hapo
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 2
  • IMG-20250126-WA0034.jpg
    IMG-20250126-WA0034.jpg
    18.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom