Wassira aweka Rekodi ya Pili: Kuwa Mbunge mdogo zaidi wa kuchaguliwa na ndiye mzee zaidi kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti

Wassira aweka Rekodi ya Pili: Kuwa Mbunge mdogo zaidi wa kuchaguliwa na ndiye mzee zaidi kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
IMG_20250118_133531_532.jpg

Alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge akiwa na umri wa miaka 23.

Leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM akiwa na miaka 80.

Amezaliwa mwaka 1945 na Taifa la Israel liliasisiwa mwaka 1947.

Ahsanteni sana 😄😄

Pia soma: Uchaguzi 2025 - Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
 
Alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge akiwa na umri wa miaka 23

Leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM akiwa na miaka 80

Amezaliwa mwaka 1945 na Taifa la Israel liliasisiwa mwaka 1947

Ahsanteni sana 😄😄
Sio kweli record inashikiliwa na Anna Makinda aliyechaguliwa mbunge akiwa na miaka 21
 
Hivi joshua nassar aliingia bungeni akiwa na umri gan? Nadhan ni 21 miaka
 
Ana mchango gani kwa taifa na pia kwa nini utawala baada vyama vingi hajawaahi onekana zaidi ya Jk na Samia kuwa madarakani!
 
Alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge akiwa na umri wa miaka 23.

Leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM akiwa na miaka 80.

Amezaliwa mwaka 1945 na Taifa la Israel liliasisiwa mwaka 1947.

Ahsanteni sana 😄😄

Pia soma: Uchaguzi 2025 - Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
Naam, mzee wetu aendelee kuchapa KAZI maana uzoefu wa miaka 57 siasa ni mtaji tosha kwa utumishi Bora.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Sio aliteuliwa, Wassira kuchaguliwa.

Btw, kuna watu wana bahati.
Hakuteuluwa aligombea kupitia kundi la vijana wa CCM jimbo la vijana wa CCM akashinda huko ndio akaingia bungeni hakuingia kupitia viti maalumu vya kuteuliwa
 
Back
Top Bottom