johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Jimbo la Vijana ndio Kitu gani we dogo wa 2000 😂😂😂Hakuteuluwa aligombea kupitia kundi la vijana wa CCM jimbo la vijana wa CCM akashinda huko ndio akaingia bungeni hakuingia kupitia viti maalumu vya kuteuliwa