Wassira aweka Rekodi ya Pili: Kuwa Mbunge mdogo zaidi wa kuchaguliwa na ndiye mzee zaidi kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti

Hakuteuluwa aligombea kupitia kundi la vijana wa CCM jimbo la vijana wa CCM akashinda huko ndio akaingia bungeni hakuingia kupitia viti maalumu vya kuteuliwa
Jimbo la Vijana ndio Kitu gani we dogo wa 2000 😂😂😂
 
Zamani kipindi cha chama kimoja kulikuwa na wabunge wawakilishi wa jumuiya zote za chama kuanzia wanawake,vijana na wazee pia kulikuwa na wabunge wanaowakilisha majeshi nk

Makinda ndiko alikopitia huko kupitia vijjana kama mbunge mwakilishi wa jumuiya ya vijana bungeni

Historia ziko vitabuni kasome utaratibu wa kupata wabunge enzi za chama kimoja haijalishi mtu kazaliwa 2000 au 3000
 
Mimi nilikuwa na hao nyakati hizo pamoja na akina Ulimwengu hata Wakuu wa Mikoa walikuwa Wabunge hadi akina Nsa Kaisi wanatolewa bungeni Kwa kuvaa jeans

Wassira alichaguliwa na Wananchi 😂😂😂😂 uwage unasoma Uzi na kuelewa 😂😂😂

Anna kaanza Kugombea jimboni 1995 Kwenye mfumo wa Vyama vingi dhidi ya Dr Ndembwela Ngunangwa aliyehamia Nccr Mageuzi 🐼
 
Back
Top Bottom