Wassira aweka Rekodi ya Pili: Kuwa Mbunge mdogo zaidi wa kuchaguliwa na ndiye mzee zaidi kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti

Alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge akiwa na umri wa miaka 23

Leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM akiwa na miaka 80

Amezaliwa mwaka 1945 na Taifa la Israel liliasisiwa mwaka 1947

Ahsanteni sana πŸ˜„πŸ˜„
Sio kweli record inashikiliwa na Anna Makinda aliyechaguliwa mbunge akiwa na miaka 21
 
Hivi joshua nassar aliingia bungeni akiwa na umri gan? Nadhan ni 21 miaka
 
Bibi yako mzaa baba yako mzaa wewe alizaliwa lini?
 
Ana mchango gani kwa taifa na pia kwa nini utawala baada vyama vingi hajawaahi onekana zaidi ya Jk na Samia kuwa madarakani!
 
Naam, mzee wetu aendelee kuchapa KAZI maana uzoefu wa miaka 57 siasa ni mtaji tosha kwa utumishi Bora.
 
Reactions: Ame
Sio aliteuliwa, Wassira kuchaguliwa.

Btw, kuna watu wana bahati.
Hakuteuluwa aligombea kupitia kundi la vijana wa CCM jimbo la vijana wa CCM akashinda huko ndio akaingia bungeni hakuingia kupitia viti maalumu vya kuteuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…