Kwakuwa mtoto achagui mzazi!Kuna watu hawafai hata kuitwa baba,,,basi tu
Mkuu siyo watu wote ni binadamu hilo litambue litakusaidia sana kwenye maisha yako ya kila siku hasa kuishi na jamii ya watu waongo na wapotoshaji kama bavicha.Mkuu chuki, nakubaliana nao oja yako kuwa bavicha ni wapotoshaji, je vip kwa Mb. Filiponjombe na yeye ni Bavicha?
WASSIRA ni mgonjwa wa Ukoma,aliwahi kuugua ukoma na kutibiwa katika Hospitali ya Shirati Wilayani Rorya katika kitengo maalum cha Ukoma! Akili yake imeathiriwa na dawa za Ukoma ambazo zinaaminika kuwa na nguvu kiasi cha kuathiri mfumo wa fahamu!