Wassira, Chikawe, Lukuvi kikaangoni kuhusu Katiba

Wassira, Chikawe, Lukuvi kikaangoni kuhusu Katiba

Mkuu chuki, nakubaliana nao oja yako kuwa bavicha ni wapotoshaji, je vip kwa Mb. Filiponjombe na yeye ni Bavicha?
Mkuu siyo watu wote ni binadamu hilo litambue litakusaidia sana kwenye maisha yako ya kila siku hasa kuishi na jamii ya watu waongo na wapotoshaji kama bavicha.
 
kumbe ndiyo maana baraza la mawaziri likivunjwa , wanatafutwa watu nje ya bunge kujaza nafasi ! Maana maccm ya huko ndani ni madudu tu !
 
WASSIRA ni mgonjwa wa Ukoma,aliwahi kuugua ukoma na kutibiwa katika Hospitali ya Shirati Wilayani Rorya katika kitengo maalum cha Ukoma! Akili yake imeathiriwa na dawa za Ukoma ambazo zinaaminika kuwa na nguvu kiasi cha kuathiri mfumo wa fahamu!
 
Ha ha ha yan wewe unamfahamu sana wassira haya uliyo andika hapa ni kweli mpaka mke wake alimkimbia kwenda marekani kwa sbabu ya huo ugonjwa.
 
Back
Top Bottom