Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira mkoani Dar yanaendelea wakati huumkoani Dar es Salaam January 26, 2025.
Wacha tuone nini watatuchia na neno gani leo Jumapili tulivu.
Wasira amesema baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni hawakutoa ahadai ya kukaa kwa kipindi fulani madarakani halayafu waaachie, sasa hizi kelele za kuwaambia wamekaa sana madarakani zinatoka wapi? Asema kama wana matatizo na hilo wazungumzo na watanzania maana wao ndio wanawapa ridhaa ya kuendelea kuongoza kwasababu hawachukui nchi kwa dola.
Wassira ameongeza pia wanaosema wamekaa miaka 60 na hakuna walichofanya wanatakiwa kusamehewa sababu wahajuli wasemacho kwani kuna maendeleo makubwa ukilinganisha wakati tumepokea uhuru na sasa. Maneno hayo ni sababu wamegoma kujifunza juu ya mengi yaliyofanywa na serikali na CCM kwa ujumla.
www.jamiiforums.com
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira mkoani Dar yanaendelea wakati huumkoani Dar es Salaam January 26, 2025.
Wacha tuone nini watatuchia na neno gani leo Jumapili tulivu.
Wasira amesema baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni hawakutoa ahadai ya kukaa kwa kipindi fulani madarakani halayafu waaachie, sasa hizi kelele za kuwaambia wamekaa sana madarakani zinatoka wapi? Asema kama wana matatizo na hilo wazungumzo na watanzania maana wao ndio wanawapa ridhaa ya kuendelea kuongoza kwasababu hawachukui nchi kwa dola.
Pre GE2025 - Wasira: Wanaosema tumekaa miaka 60 hakuna tulichofanya tuwasamehe hawajui wanachosema
Wakuu, Wassira amesema wanaoesema hakuna kilichofanyika kwa miaka 60 ya uhuru wanatakiwa kusamehewa kwani hawajui walisemalo. Amesema zamani kulikuwa na barabara tatu pekee Dar -Moro, tanga korogwe, na moshi kwenda arusha na sababu zilikuwa zinaendelea kwenye mashamba ya biashara, elimu...