Pre GE2025 Wassira: Hatukuahidi kuachia madaraka baada ya muda tulipopata uhuru. Hatutumii jeshi kubaki madarakani, tunachaguliwa

Pre GE2025 Wassira: Hatukuahidi kuachia madaraka baada ya muda tulipopata uhuru. Hatutumii jeshi kubaki madarakani, tunachaguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
26 November 2024
Singida, Tanzania

JUHUDI ZA TUNDU LISSU KUZUIA MFUMO KUTUMIA UENGUAJI HAZIKUFUA DAFU
Tundu Lissu akigawa fomu za Mawakala wa CHADEMA Tarafa ya Ikungi mkoani Singida walioapishwa leo Novemba 26, 2024 tayari kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa TAMISEMI utakaofanyika Novemba 27, 2024..


View: https://m.youtube.com/watch?v=BA1GgidGg8k
 
Inawezekana network imeyumba kidogo mzee wetu anajua tumepata uhuru miaka michache iliyopita🐼
 
Makamu Mwenyekiti aliyeomba kupumzika ndugu Kinana ana umri wa miaka 73 sasa

Aliyepokea Kijiti ana umri wa miaka 80

Hii ndiyo Tanzania

Wakati huo huo Vijana wanaambiwa wakajiajiri, huku Wazee wa miaka 80 wanaendelea kusalia maofisini 🙌
 
Waje tu kina Karl peters na Dr Livingstone tuanze upya…..
Au mwamba Mangungo angeuza nchi nzima permanently kabisa likaeleweka moja tu! 😬

images (12).jpeg
images (8).jpeg
 
Huyu Mzee kajisahau anafikiri bado tuna mfumo wa chama kimoja,hivi hajui kuwa sasa CCM inalitumia jeshi la Polisi kubakia madarakani.
 
Back
Top Bottom