Wasira amesema baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni hawakutoa ahadai ya kukaa kwa kipindi fulani madarakani halayafu waaachie, sasa hizi kelele za kuwaambia wamekaa sana madarakani zinatoka wapi? Asema kama wana matatizo na hilo wazungumzo na watanzania maana wao ndio wanawapa ridhaa ya kuendelea kuongoza kwasababu hawachukui nchi kwa dola.
Your browser is not able to display this video.
Wassira ameongeza pia wanaosema wamekaa miaka 60 na hakuna walichofanya wanatakiwa kusamehewa sababu wahajuli wasemacho kwani kuna maendeleo makubwa ukilinganisha wakati tumepokea uhuru na sasa. Maneno hayo ni sababu wamegoma kujifunza juu ya mengi yaliyofanywa na serikali na CCM kwa ujumla.
Wakuu, Wassira amesema wanaoesema hakuna kilichofanyika kwa miaka 60 ya uhuru wanatakiwa kusamehewa kwani hawajui walisemalo. Amesema zamani kulikuwa na barabara tatu pekee Dar -Moro, tanga korogwe, na moshi kwenda arusha na sababu zilikuwa zinaendelea kwenye mashamba ya biashara, elimu...
Hata kumjibu kwa hoja kali huyu mzee najisikia vibaya, CCM wana dhambi sana.
Hawa wazee ni wa kupewa vipaumbele katika afya zao (mapumziko/kustaafu), ila ndio wanawazungusha kama wanasesere!
Wasira amesema baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni hawakutoa ahadai ya kukaa kwa kipindi fulani madarakani halayafu waaachie, sasa hizi kelele za kuwaambia wamekaa sana madarakani zinatoka wapi? Asema kama wana matatizo na hilo wazungumzo na watanzania maana wao ndio wanawapa ridhaa ya kuendelea kuongoza kwasababu hawachukui nchi kwa dola.
Wasira amesema baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni hawakutoa ahadai ya kukaa kwa kipindi fulani madarakani halayafu waaachie, sasa hizi kelele za kuwaambia wamekaa sana madarakani zinatoka wapi? Asema kama wana matatizo na hilo wazungumzo na watanzania maana wao ndio wanawapa ridhaa ya kuendelea kuongoza kwasababu hawachukui nchi kwa dola.
mkuu kutomwelewa huyu mzee sio jambo baya utaeleweshwa utaelewa maana wote hamuwezi kuelewa sawa,kulikua hakuna sababu yoyote ya kuchelewa usiwe na shaka kama hujaelewa huyu mzee katiba ya CCM iko kichwani mwake ndugu.
ni mambo yako dunia nzima ndugu ni utamaduni wa heshima mama kupeperusha bendera mitano tena
UCHAGUZI WA TAMISEMI 2024
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga amedaiwa kufanya fujo kwenye kituo cha kupigia kura cha Mlimwa Site One kwa kuwazuia kwa muda wananchi kupiga kura kwa madai kuwa kuna watu ambao siyo wakazi wa mtaa huo ambao wameruhusiwa kupiga kura...