Au mwamba Mangungo angeuza nchi nzima permanently kabisa likaeleweka moja tu! 😬Waje tu kina Karl peters na Dr Livingstone tuanze upya…..
Huyu Mangungo wa sasa amejimilikisha nchi na rasilimali zake.Mwamba Mangungo angeuza nchi nzima permanently kabisa likaeleweka moja tu!
Na siku tunakuja kurudushiwa nchi, Dar ingekuwa kama vile Hong Kong wakati anarudishiwa ChinaAu mwamba Mangungo angeuza nchi nzima permanently kabisa likaeleweka moja tu! 😬
View attachment 3214709View attachment 3214710