mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Ohoo kumbe !! Basi baada ya hapo hatutosikiliza tena malalamiko yao eti wamemezwa na Tanganyika !!Wao wanatenda hawapigi porojo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoo kumbe !! Basi baada ya hapo hatutosikiliza tena malalamiko yao eti wamemezwa na Tanganyika !!Wao wanatenda hawapigi porojo
Yaani haina tofauti tu lakini bado haijasemwa au kuamriwa hivyo ??! Maana Sheria I kisha tamka kwamba ni uhaini basi hakuna tena atakayezungumzia habari hizo !!Kuongelea maswala ya serekali tatu haina tofauti na uhaini.
Ningekuwa na uwezo hiki kisiwa ningekitupilia mbali, marehemu Mwalimu Julius Kambarage NyerereMzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Nadhani inategemea na how strong 💪 is He /She alivyo ndani ya Chama !!Ndani ya CCM akitamka mwenyekiti tayari ni sera ya chama.
Tanganyika yenyewe iko wapi?Ohoo kumbe !! Basi baada ya hapo hatutosikiliza tena malalamiko yao eti wamemezwa na Tanganyika !!
Ila huyu mzee tokea enzi za Nyerere hadi kwa madam bado ana sauti na ushawishi haya aliyoyasema kayatoa wapi, mzee huyu hana tofauti na mzee Makamba wote ni walamba asali.Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Lakini ndio ukweli wenyewe huo!Ila huyu mzee tokea enzi za Nyerere hadi kwa madam bado ana sauti na ushawishi haya aliyoyasema kayatoa wapi, mzee huyu hana tofauti na mzee Makamba wote ni walamba asali.
Labda imeenda likizo tu 😂😂Tanganyika yenyewe iko wapi?
Alishawajua ni wabishi walalamishi na sio wa kuburutwa burutwa kirahisi rahisi au aliwaonaje hasa mpaka akasema vile ?? 🤣🤣🤣Ningekuwa na uwezo hiki kisiwa ningekitupilia mbali, marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Wananchi wa Nchi gani?Maana hafahamu kuwa kabla ya 1964 lilikuwa na Tanganyika Huru na Zanzibar Huru,Muungano ulikujaje vile?CCM na Yanga Ndio Wananchi wenyewe!
Kwenda kwenye serikali moja ni kuuwa nchi moja jambo ambolo hakuna upande utakaokubaliLengo ni kuelekea kwenye serekali moja, ukiongeza ya tatu, itakuwaje? Hapa kwenye mbili ndio rahisi kuelekea kwenye moja!, yenye maendeleo yenye uwiano sawa! Kwa kila kipande ndani ya muungano wetu.
😆Labda imeenda likizo tu 😂😂
Kwani kuna pande ngapi?Kwenda kwenye serikali moja ni kuuwa nchi moja jambo ambolo hakuna upande utakaokubali
Kuna Tanganyika, Tanzania na ZanzibarKwani kuna pande ngapi?
Tanganyika ameenda likizo ndio maana haonekani !!Kuna Tanganyika, Tanzania na Zanzibar
Huenda yeye kwa hili ni supika tu !Huyo ni
Mjumbe wa kamati kuu ya chama,huenda ndiyo msimamo wa chama,lakini chama hakiwezi kuwa na nguvu zaidi kuliko Watanzania akiwepo na yeye. Upeo wa kuzeeka kifikra na kimwili kumbe viko sawa.
Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara,tuna nchi inaitwa Tanzania. Nchi ya Tanganyika iliuwawa na Muungano wa nchi ya Zanzibar. Leo Muungano ukifa hatuna nchi,sijajua tutasimamia wapi,na hakuna aliyewahi kuuliza hivi Muungano ukifa sisi tutabaki na nini?Sio kweli, unajua rasi wa zanzibr anateuliwa/kupendekezwa na Tanzania bara?
PweintiHakuna nch
Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara,tuna nchi inaitwa Tanzania. Nchi ya Tanganyika iliuwawa na Muungano wa nchi ya Zanzibar. Leo Muungano ukifa hatuna nchi,sijajua tutasimamia wapi,na hakuna aliyewahi kuuliza hivi Muungano ukifa sisi tutabaki na nini?
Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara tuna nchi inaitwa Tanzania. Muungano ukivunjika hatuna tutakachobaki nacho,kwa sababu zanzibar na Tanganyika ndiyo iliyozalisha Tanzania na kuuwa Tanganyika,lakini Zanzibar imeendelea kusimama imara mpk kesho. Tuna rais wa JMT na Zanzibar wana rais wa serikali ya mapinduzi,sisi marehemu Tanganyika hatuna rais,tumejificha kwenye kwapa la Muungano.Sio kweli, unajua rasi wa zanzibr anateuliwa/kupendekezwa na Tanzania bara?