Mbowe alikuwa amelewa ,Wasira asibishane na mlevi
Kenya vipi mbona kiduchu na bado ina majimboHuo msumari wa moto kweli, tunaposema wazee ni hazina tuelewane tu palipo na wazee haliharibiki jambo.
CHADEMA ni weupe sana kichwani, unapouzungumzia serikali unazungumzia mamlaka kamili yenye kila kitu ndani yake. Sasa wanajiokotezea vitu impractical mitandaoni wanataka ku practice kwetu
Huyu mzee ni mjinga snHoja ya serikari za majimbo inayopigiwa chapuo na CHADEMA haina tija.Tanzania ina ukubwa sawa na jimbo la Texas. Kuwa na majimbo yenye magavana, mabunge na mabaraza ya mawaziri ni kuongeza gharama za utawala. Bunge moja tunalalamika sembuse mabunge 20. Tuache kuigiza"
Hapo ndipo akili za CCM zilipoishia,Hoja ya serikari za majimbo inayopigiwa chapuo na CHADEMA haina tija.Tanzania ina ukubwa sawa na jimbo la Texas. Kuwa na majimbo yenye magavana, mabunge na mabaraza ya mawaziri ni kuongeza gharama za utawala. Bunge moja tunalalamika sembuse mabunge 20. Tuache kuigiza"
Kwani hili la serikali 3 au Mifumo ya Majimbo hakuna nchi zinazo practise duniani?Huo msumari wa moto kweli, tunaposema wazee ni hazina tuelewane tu palipo na wazee haliharibiki jambo.
CHADEMA ni weupe sana kichwani, unapouzungumzia serikali unazungumzia mamlaka kamili yenye kila kitu ndani yake. Sasa wanajiokotezea vitu impractical mitandaoni wanataka ku practice kwetu
Wassira ni wa kumwonea huruma tuu, mtu mwenyewe anakokotwa kama Plau.Serikali za majimbo ni cheap zaidi kuliko muundo wa sasa.
Chadema inachosema ni kwamba hizi kanda za hivi Sasa ndiyo ziwe majimbo (mfano kanda ya ziwa yenye mikoa zaidi ya 5 ) iwe Jimbo moja.
Chukua hiyo mikoa 5 Ina wakuu wa mikoa 5, wakuu wa wilaya zaidi ya 40, maRAS 5 , maDAS 40, maDED 40, maDEO 40, maREO 5, maRPC 5, maOCD 40, wabunge 60, n.k
Serikali ya Jimbo ni cheap mno kuliko ilivyo hivi Sasa. Huyu mzee Wasira akili ishazeeka mwambieni apumzike.
Majimbo yatasababisha mgawanyiko na hata kutaka kujitenga. Tumeona Ethiopia vita kali ya kutaka kujitenga jimbo la tigray kaskazini ya nchi hiyo. Pia Nigeria hakuna usalama wala utawala bora kutokana na majimbo. Huku mashariki majimbo yaliyowahi kupigana vita ili kujitenga na kuunda nchi ya biafra kwenye miaka ya 60 leo yameanza tena kupigana kutaka kujitenga.Hoja ya serikari za majimbo inayopigiwa chapuo na CHADEMA haina tija.Tanzania ina ukubwa sawa na jimbo la Texas. Kuwa na majimbo yenye magavana, mabunge na mabaraza ya mawaziri ni kuongeza gharama za utawala. Bunge moja tunalalamika sembuse mabunge 20. Tuache kuigiza"