Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hili sio deni la serikali Bali ni deni la CCM, Kwani CCM ni serikali
Chai Moja moto na half cake bei gani?Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi.
Wasira ameyasema hayo leo Jana Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika Kata ya Chibe, Wialaya na Mkoa wa Shinyanga ambapo ametaka ofisi za Chama ziwe kimbilio la wananchi kufikisha kero zao.
"Nakupongezeni sana kwa kupata ofisi nzuri naomba muitumie kuwasikiliza wananchi wa hapa, kuwasikuliza wanachama wetu, na kufanya vikao ambavyo ajenda zake zinashughulikia mambo ya watu sio kusulihisha magomvi.
"Tuzungumze mambo ya watu, tushughulike, 'miniti' zetu zote zihusu mambo ya watu, yatokanayo tuulizane tulikubaliana machinga wana matatizo haya, je walipatiwa ufumbuzi, tumezungumza wakulima wana matatizo haya je matatizo yao yametatuliwa makundi mbalimbali na wananchi tuwafanye wajue kwamba CCM ndio kimbilio lao," amesisitiza.
View attachment 3284956
Ofisi za wawakilishi wa wananchi zina kazi ganiWasira ameyasema hayo leo Jana Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika Kata ya Chibe, Wialaya na Mkoa wa Shinyanga ambapo ametaka ofisi za Chama ziwe kimbilio la wananchi kufikisha kero zao.
Huyu Mzee amekuja na ari mpya na Kasi mpya wakati anajua kabisa nchi imeliwa na DP worldOfisi za wawakilishi wa wananchi zina kazi gani
Ccm wameishiwa kabisa , yani ofisi za chama ndo zitumike kutatua kero na ofisi za Serikali ambazo zipo kikanuni na kisheria zitumike kufanya nini?Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi.
Wasira ameyasema hayo leo Jana Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika Kata ya Chibe, Wialaya na Mkoa wa Shinyanga ambapo ametaka ofisi za Chama ziwe kimbilio la wananchi kufikisha kero zao.
"Nakupongezeni sana kwa kupata ofisi nzuri naomba muitumie kuwasikiliza wananchi wa hapa, kuwasikuliza wanachama wetu, na kufanya vikao ambavyo ajenda zake zinashughulikia mambo ya watu sio kusulihisha magomvi.
"Tuzungumze mambo ya watu, tushughulike, 'miniti' zetu zote zihusu mambo ya watu, yatokanayo tuulizane tulikubaliana machinga wana matatizo haya, je walipatiwa ufumbuzi, tumezungumza wakulima wana matatizo haya je matatizo yao yametatuliwa makundi mbalimbali na wananchi tuwafanye wajue kwamba CCM ndio kimbilio lao," amesisitiza.
View attachment 3284956
Hakuna chahwa wa kukujibu hiliWho is responsible in solving citizen problems between political party or the government? If both who is superior to others
Huyo ndo eti wa kutuvusha,hii mambo shida sanaCcm wa
Ccm wameishiwa kabisa , yani ofisi za chama ndo zitumike kutatua kero na ofisi za Serikali ambazo zipo kikanuni na kisheria zitumike kufanya nini?
Uyu mzee bure kabisa anafikili bado ipo mfumo wa chama kimoja sio,
Labda wasikilize kero za wanaccm. Yaani mtu huru uende kwenye ofisi ya ccm kutatuliwa kero?ππMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi.
Wasira ameyasema hayo leo Jana Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika Kata ya Chibe, Wialaya na Mkoa wa Shinyanga ambapo ametaka ofisi za Chama ziwe kimbilio la wananchi kufikisha kero zao.
"Nakupongezeni sana kwa kupata ofisi nzuri naomba muitumie kuwasikiliza wananchi wa hapa, kuwasikuliza wanachama wetu, na kufanya vikao ambavyo ajenda zake zinashughulikia mambo ya watu sio kusulihisha magomvi.
"Tuzungumze mambo ya watu, tushughulike, 'miniti' zetu zote zihusu mambo ya watu, yatokanayo tuulizane tulikubaliana machinga wana matatizo haya, je walipatiwa ufumbuzi, tumezungumza wakulima wana matatizo haya je matatizo yao yametatuliwa makundi mbalimbali na wananchi tuwafanye wajue kwamba CCM ndio kimbilio lao," amesisitiza.
View attachment 3284956
Ofisi zenyewe sasa mbuzi wanataga humo na kuku wanazaa humo ni full stressLabda wasikilize kero za wanaccm. Yaani mtu huru uende kwenye ofisi ya ccm kutatuliwa kero?ππ