CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
Ila Mzee anachapa sana kaziHicho kibarakashe kimempendeza, na alivyo mzee amezidi kuonekana kama kijana π₯
Anyway, this is bullshit
Samia atalipwa mema mengi tu
View attachment 3282318
View attachment 3282325
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne, anastahili kulipwa mambo mazuri ikiwemo kudumisha amani na mshikamano.
Wasira ameyaeleza hayo jana Karagwe mkoani Kagera alipojumuika na waumini wa dini ya Kiislamu na wananchi wa Karagwe katika hafla ya futari iliyofanyika mjini Karagwe.
"Hapa yameelezwa mambo mengi ya maendeleo yaliyofanyika hapa Karagwe chini ya Rais Dk. Samia, na nakuhakikishieni sio Ngara peke yake bali mambo ya maendeleo yamefanyika nchi nzima.
"Namna pekee ya kumpongeza na kumuunga mkono Rais Samia ni kuimarisha amani, umoja na mshikamano wa Watanzania," amesema.
== ==
Muda utaongea tuSawa. Swali ni kwa nini anaogopa Reform. Kwa nini anaohopa free. elections? Samia ni Rais wa kwanza kutukia pesa nyingi kujinadi tena kabla hata ya muda wa kampeni kuanza.
ππππππππππππππππππππΏππΏAtalipwa kwa mema haya:
1. Kupora bandari za Tanganyika na kuwagawia waarabu kwa malipo ya rushwa kwa familia yake na waliowezesha huo uharamia.
2. Kupora mbuga za wanyama za Tanganyika na kuwapa waarabu, kwa malipo ya rushwa kwa familia yake na wawezeshaji wa uharamia huo.
3. Kupora hifadhi za misitu za Tanganyika na kuwagawia Waarabu kwa malipo ya rushwa kwa famikia yake, na waliowezesha huo uharamia.
4. Kupora uwanja wa ndege wa Kilimanjaro international, na kuwagawia waarabu kwa malipo ya rushwa kwa familia yake, na wawezeshaji wa uporaji.
5. Kuwapendelea wazanzibari na kuwapa nafasi za utawala Tanganyika, kinyume cha mkataba wa muungano.
6. Kuwaruhusu watanganyika wawezeshaji wa wizi na uporaji nao waendelee kuiba kadiri watakavyo alimradi wawe machawa wake.
7. Kuitumia Tanganyika kukopa mabilioni ya pesa kwaajili ya Zanzibar, na deni lilipwe na Tanganyika.
8. Kuwapa Zanzibar mgao wa pesa za misaada na mikopo, maradufu ya mwongozo ya mkataba wa muungano wa 4%., moaka kufikia kiasi cha 19%.
Haya ndoyo kwayo huyu mama atakumbukwa na kutembea nayo.