Wassira: Wapinzani chezeeni ndevu na msithubutu kuchezea Dola ( CCM)

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
"....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina tatizo. Ila, ishieni kuchezea ndevu pekee na siyo Dola."
 
Huyo zinjan nae anataka kusema nn?
 
Sasa kuna uhusiano gani kati ya ndevu na dola, na istoshe dola yenyewe imeadimika sn, yaani pound, euro na dola ni adimu sn Tz
Chezea ndevu hazitokatika wala kupotea, chezea ndevu zichukue, aliyenyolewa zitaoteshwa,
Dola ikitumbukia chooni ndio ntolee. Dola ikipotea utasaga meno kurudi kwake.

Mfano mzuri ni huo dola imeadimika euro sijui pound, bora ww unaona imeadimika, wenzako tuliyoishika tukaichezea december leo haipatikani, hivo, ukishika pesa kuwa makini nayo sana. Ndevu sio issue.
Nadhani umeelewa.
 
Sijaelewa mkuu

Ndege wanao fanana hiruka kwa pamoja, ndio maana na mzee ameshaiga mipasho, bado tu kudemka...😝
 
Ndio anaongea vitu gani sasa huyu Gorilla, akili imeshaganda hana mawazo mapya. Huyu ni kiongozi na ana mawazo ya hivi vipi kuhusu wafuasi?
 
Siyo Yeye! Ni umri.
Mtu akizeeka sana anakuwa kama mtoto!
 
"....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina tatizo. Ila, ishieni kuchezea ndevu pekee na siyo Dola."
Kauli ya mtu wa hovyo
 
Mjukuu wake anayemchezeaga ndevu
FB_IMG_1704974648085.jpg
 
Back
Top Bottom