Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Huyo zinjan nae anataka kusema nn?"....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina tatizo. Ila, ishieni kuchezea ndevu pekee na siyo Dola."
Anasema chezeeni ndevu sio dolaHuyo zinjan nae anataka kusema nn?
Sasa kuna uhusiano gani kati ya ndevu na dola, na istoshe dola yenyewe imeadimika sn, yaani pound, euro na dola ni adimu sn TzAnasema chezeeni ndevu sio dola
Chezea ndevu hazitokatika wala kupotea, chezea ndevu zichukue, aliyenyolewa zitaoteshwa,Sasa kuna uhusiano gani kati ya ndevu na dola, na istoshe dola yenyewe imeadimika sn, yaani pound, euro na dola ni adimu sn Tz
Chezea ndevu hazitokatika wala kupotea, chezea ndevu zichukue, aliyenyolewa zitaoteshwa,
Dola ikitumbukia chooni ndio ntolee. Dola ikipotea utasaga meno kurudi kwake.
Mfano mzuri ni huo dola imeadimika euro sijui pound, bora ww unaona imeadimika, wenzako tuliyoishika tukaichezea december leo haipatikani, hivo, ukishika pesa kuwa makini nayo sana. Ndevu sio issue.
Nadhani umeelewa.
Mkuu basi taabu kukuelewesha, mambo ya siasa hayo, wenyewe wameelewa, hata mm nimeelewa hivo.Sijaelewa mkuu
Mkuu basi taabu kukuelewesha, mambo ya siasa hayo, wenyewe wameelewa, hata mm nimeelewa hivo.
Kauli ya mtu wa hovyo"....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina tatizo. Ila, ishieni kuchezea ndevu pekee na siyo Dola."