mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
Kama kichwa Cha habari kinavyosema,...ntawashangaa Sana wafanyakazi watakaowapigia kura hawa viongozi wanaoendelea kuwakandamiza kwa kupigia debe ulipaji kwa njia ya kikotoo ambAcho Ni kandamizi kwa wastaafuuu..
Ndalichako nakuheshimu Sana..ila kwa hoja yako bungeni ambayo inawakandamiza wastaafu nimekuchukia kwa kiwango Cha hali ya juu...na ningekuwa kigoma usingepata kura yangu... Wewe unalipwa mamilion ya pesa na pia kiinua mgongo chako Ni zaidi ya milion 500...Leo unaunga mkono kikokotoo kinachowakandamiza wafanyakazi wengine kwa ujumla..
Futa kauli yako mapema Sana wewe na hao wengine mnaounga mkono hicho kikotoo kwa vile hakiwagusi...nyie..la sivyo tuwakabidhi kwa Mungu ili awafundishe kuwapenda wenzenu Kama nafsi zenu...