Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Alinukuliwa mstaafu mmoja akimwambia Mwenyekiti wa kijiji cha pili kuwa maamuzi yanafanywa na mke wake na ikapelekea sitonfahamu kubwa kwa wakati ule, kumbe yule mwamba mtoa hoja alikuwa kashazoea uongozi,ukatili na sifa akajiona kuwa hapati kusikilizwa akaamua kulipuka watu wakamsikia.
Miaka minne (4) iliyopita Mwenyekiti wa awamu ya tano naye alinukuliwa kuwa kuna watu wanawashwawashwa,inaonekana kuwa Rimoti ya Msoga ilikuwa inataka kumchokonoa CHUMA ila kwa bahati mbaya jamaa alikuwa ni mbishi kwani kama vifo alivieskepu na huwenda Msoga kwenye awamu yake alikuwa Hapendi jiwe ila ilikuwa ni ushawishi wa mzee Kipara ambaye mpaka anachungulia shimo alikuwa ni mtata na hapingwi hovyo,ila hii Msoga gang inaonekana ni yamoto band na imeleta Makundi mengi kwenye bendi yao.
Juzi kwenye Kumbukumbu ya Mtendaji wa Kijiji aliyechungulia shimo alinukuliwa Jamaa wa ARUSHA kuwa kuna watu wanaheshimika ila inaonekana heshima yao ni bure kabisa,wanatuma vijana wao kwenda kumtukana na kuharibu sifa za MMwenyekiti wa Kijiji,inaonekana kwenye kwenye klabu kuna utata mwingi na wizi kibao.
Jamaa wabishi na ndiyo wanaoharibu vijiji vyetu,wanataka mifumo yao iendelee kudumu ili waendeleze wizi,ubishi na majivuno yao.
NANI AMFUNGE PAKA KENGELE?