Nduna shujaa
Senior Member
- Aug 14, 2022
- 163
- 134
Wandugu tufahamishane na kushauri hapa kwa manufaa ya watoto wetu. Nimepita ktk shule za msingi mkoani Ruvuma ktk kata moja ya Mshangano. Kwenye shule ya s/m Mshangano kati inawanafunzi 842 na ina madarasa 7, wastani kila darasa wanafunzi 120.
Ina matundu ya vyoo 10, wastani kila tundu watoto 84. Je afya za watoto hapa zitakuwa sawa? Ktk s/m Lipupuma kuna watoto 540 na madarasa 9 wastani wanafunzi 60 kwa darasa na matundu ya vyoo 10 wastani watoto 54 katika tundu moja. Serikali ichukue hatua katika kuboresha mazingira ya shule zetu kuanzia miundombinu, taaluma na afya za watoto, maji ya kutawazia wanachota mtoni au kwa majirani hawa watoto.