Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Shule za binafsi huweka wastani wa alama za ufaulu ili mtoto aweze kuendelea na masomo. Shule moja hapa Dar imeweka wastani wa alama 61. sasa mtoto mmoja kapata wastani alama 59 tena kwa kujipinda hasa.
Lakini shule imemlazimisha kurudia kidato. mtoto kaumia hasa hana raha kabisa.
Hili tatizo lianaweza kutatuliwaje?
Shule niliyosoma o level passmark ilikuwa ni 60, tena per subject!! Sio average ya masomo, yaani kila somo upate 60 or above!! Ukishindwa kupata hiyo somo moja hadi matatu unafanya 'supplementary' ya masomo uliyofeli, a week before a new academic year haujaanza. Ukifeli masomo manne unarudia kidato, ukifeli kuanzia matano unarudi kwenu!!
Na jinsi ya kupata wastani wa mwaka ni very fair. First term mnafanya continous assessment tests number one and two,ewch carries 15%, assignments zinacarry 15% na pia kulikuwa na 5% za kuandika notes (mwisho wa term ticha anakusanya daftari zote anakagua,anagawa marks).
Halafu terminal exam 50%. Term ya pili hivyo hivyo, alafu ur annual marks ni marks za term ya 1 na ya 2 divide by two.
I really liked the system ya ile shule.