Alimuacha nani mkuu?Laana ya kumwacha mwanaume aliejitolea kumtibu, kumbebea shida itamtafuna sana
Picha zake hospitalini India ni utata mtupu. Hivyo hospitali za India zina viti vya plastiki kama bar za bongo? Madaktari wao ni waafrika? Cannula zimebadilishwa kanuni za kumuwekea mgonjwa? Nguo za wagonjwa waliolazwa hospitali ni zile kweli? Huyu gonjwa janja kwelikweli. Pengine alikuwa gesti India.
Pole Wastara Kama ni Kweli maana nyie wasanii akili zenu mnazijua wenyewe.
Hahaaaa Da Mamaa KANULA GONE WRONG.
Huyu mtu mbona hana shukrani?
Naona analalamika tu, hata sijasikia akimshukuru Mungu na watu wa Mungu waliomchangia fedha.
Sijawahi kusikia mtu analalamika "fEDHA MLIZONIPATIA HAZIKUTOSHA, HADI NIKAONGEZEA NA ZA KWANGU".
Huu ni zaidi ya upumbavu!
😱😱😱😱😱 alikosea sana ...siku nyingine asiongeze...aache tu aendelee kuumwa......Huyu mtu mbona hana shukrani?
Naona analalamika tu, hata sijasikia akimshukuru Mungu na watu wa Mungu waliomchangia fedha.
Sijawahi kusikia mtu analalamika "fEDHA MLIZONIPATIA HAZIKUTOSHA, HADI NIKAONGEZEA NA ZA KWANGU".
Huu ni zaidi ya upumbavu!
Wacha chuki za kijinga, Wastara ameshukuru mara lukuki waliomchangia inatosha kama wewe ulimchangia kamdai pesa zako, ebho!
😱😱😱😱😱 alikosea sana ...siku nyingine asiongeze...aache tu aendelee kuumwa......
Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amedai baada ya kufanyiwa vipimo vyote nchini India amebainika kuwa na tatizo kwenye fuvu lake la kichwa ambapo hilo ndio lililokuwa likimfanya akose usingizi hapo awali bila ya yeye kujitambua.
Wastara ameeleza hayo mara alipowasili katika ardhi ya Tanzania akiwa anatokea nchini India ambako alienda kufanyiwa matibabu ya mguu pamoja na mgongo uliyokuwa unamsumbua kwa kipindi kirefu lakini baada ya kufika huko alikutwa na matatizo mengine tofauti na hayo.
“Ni tatizo ambalo lilikuwa linahitajika kuchukuliwa umakini kwa sababu muda mwingi nilikuwa nalalamika kukosa usingizi, kitu ambacho mimi mwanzo nilikuwa nadhani labda ni kutokana na mawazo niliyokuwa nayo lakini siyo hivyo. Kwenye fuvu la kichwa kuna mpasuko kwa nje na kusababisha kama uvimbe jambo ambalo lilikuwa linanisababishia kukosa usingizi”, amesema Wastara.
Pamoja na hayo, Wastara ameendelea kwa kusema “nimefanikiwa kupata dawa pia na ninatakiwa nitumie kila baada ya miezi mitatu na kama kuna uwezekano wa kupata matibabu hapa hapa nchini itakuwa vizuri. Wenyewe wamenishauri kama itawezekana niweze kupata bima ya afya kubwa kwa sababu kama kuna ulazima wa kurudi kila baada ya miezi mitatu iwe rahisi ili niweze kuangalia tatizo la kichwa kwa sababu sio jambo la kulifanyia masihara”.
Kwa upande mwingine, Wastara amesema anamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuwezesha kurudi salama nchini pamoja na tatizo lake la mguu linaendelea vizuri japokuwa bado yupo kwenye uangalizi.
Asante sana, Mungu akubariki na kukuongezea busara na hekima.Ondoa upumbavu wako hapa mbweha wewe. Unaweza kujua nilimchangia kiasi gani? Ni binadamu gani anatanguliza malala miko eti fedha zenu hazikutosha. Pumbavu sana wewe na huyo mpumbavu mwenzio. Mbwha mkubwa.