Wastara aeleza kilichojiri India aibuka na tatizo jipya

Wastara aeleza kilichojiri India aibuka na tatizo jipya

Laana ya kumwacha mwanaume aliejitolea kumtibu, kumbebea shida itamtafuna sana
 
Huyu Dada ana matatizo ya akili.
Inahitaji kutibiwa hilo kwanzà.
Pesa gani alizo nazo yeye za kusema aliongeza kwenye m15 alizompa magu?

Eti anahitaji bima kubwa!!
Shit!!
Hizo hela ambazo rais alimpa zingenunua bati nyingi kwa ajili dispensary huko vijijini
 
Pole Wastara Kama ni Kweli maana nyie wasanii akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Picha zake hospitalini India ni utata mtupu. Hivyo hospitali za India zina viti vya plastiki kama bar za bongo? Madaktari wao ni waafrika? Cannula zimebadilishwa kanuni za kumuwekea mgonjwa? Nguo za wagonjwa waliolazwa hospitali ni zile kweli? Huyu gonjwa janja kwelikweli. Pengine alikuwa gesti India.
7ee3a98444c55c205e7c5b117784799d.jpg
 
Huyu mtu mbona hana shukrani?

Naona analalamika tu, hata sijasikia akimshukuru Mungu na watu wa Mungu waliomchangia fedha.

Sijawahi kusikia mtu analalamika "fEDHA MLIZONIPATIA HAZIKUTOSHA, HADI NIKAONGEZEA NA ZA KWANGU".

Huu ni zaidi ya upumbavu!

Wacha chuki za kijinga, Wastara ameshukuru mara lukuki waliomchangia inatosha kama wewe ulimchangia kamdai pesa zako, ebho!
 
Acha au punguza kugegedwa sasa upumzishe mguu na kiuno na utakaokuwa unawapa zigo uwe unawaaomba wakusaidie pia
 
Huyu mtu mbona hana shukrani?

Naona analalamika tu, hata sijasikia akimshukuru Mungu na watu wa Mungu waliomchangia fedha.

Sijawahi kusikia mtu analalamika "fEDHA MLIZONIPATIA HAZIKUTOSHA, HADI NIKAONGEZEA NA ZA KWANGU".

Huu ni zaidi ya upumbavu!
😱😱😱😱😱 alikosea sana ...siku nyingine asiongeze...aache tu aendelee kuumwa......
 
Wacha chuki za kijinga, Wastara ameshukuru mara lukuki waliomchangia inatosha kama wewe ulimchangia kamdai pesa zako, ebho!

Ondoa upumbavu wako hapa mbweha wewe. Unaweza kujua nilimchangia kiasi gani? Ni binadamu gani anatanguliza malala miko eti fedha zenu hazikutosha. Pumbavu sana wewe na huyo mpumbavu mwenzio. Mbwha mkubwa.
 
Anatatizo la mguu, kichwa, mgongo na yote kwake pole sana Wastara.
 
Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amedai baada ya kufanyiwa vipimo vyote nchini India amebainika kuwa na tatizo kwenye fuvu lake la kichwa ambapo hilo ndio lililokuwa likimfanya akose usingizi hapo awali bila ya yeye kujitambua.

Wastara ameeleza hayo mara alipowasili katika ardhi ya Tanzania akiwa anatokea nchini India ambako alienda kufanyiwa matibabu ya mguu pamoja na mgongo uliyokuwa unamsumbua kwa kipindi kirefu lakini baada ya kufika huko alikutwa na matatizo mengine tofauti na hayo.

“Ni tatizo ambalo lilikuwa linahitajika kuchukuliwa umakini kwa sababu muda mwingi nilikuwa nalalamika kukosa usingizi, kitu ambacho mimi mwanzo nilikuwa nadhani labda ni kutokana na mawazo niliyokuwa nayo lakini siyo hivyo. Kwenye fuvu la kichwa kuna mpasuko kwa nje na kusababisha kama uvimbe jambo ambalo lilikuwa linanisababishia kukosa usingizi”, amesema Wastara.

Pamoja na hayo, Wastara ameendelea kwa kusema “nimefanikiwa kupata dawa pia na ninatakiwa nitumie kila baada ya miezi mitatu na kama kuna uwezekano wa kupata matibabu hapa hapa nchini itakuwa vizuri. Wenyewe wamenishauri kama itawezekana niweze kupata bima ya afya kubwa kwa sababu kama kuna ulazima wa kurudi kila baada ya miezi mitatu iwe rahisi ili niweze kuangalia tatizo la kichwa kwa sababu sio jambo la kulifanyia masihara”.

Kwa upande mwingine, Wastara amesema anamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuwezesha kurudi salama nchini pamoja na tatizo lake la mguu linaendelea vizuri japokuwa bado yupo kwenye uangalizi.

34d9327fd76a1919cc68611724ed19d3.jpg


a33651e337c08f0f5f681ea07c7e5eac.jpg

Sijui kwanini sipendi kabisa watu wanapenda wasaidiwe wao shida zao as if wao ni special sana zaidi ya wanadamu wengine ambao tuna shida the same way!
 
Ondoa upumbavu wako hapa mbweha wewe. Unaweza kujua nilimchangia kiasi gani? Ni binadamu gani anatanguliza malala miko eti fedha zenu hazikutosha. Pumbavu sana wewe na huyo mpumbavu mwenzio. Mbwha mkubwa.
Asante sana, Mungu akubariki na kukuongezea busara na hekima.
 
Mbona katika picha zote za wastara sijapata kuona daktari wa kihindi? Kote ni madaktari weusi tu kunani?
 
Huyo Wastara aliishia darasa la ngapi?
 
Back
Top Bottom