Wastara afunguka kuwachukia wanaume wenye rangi nyeupe

Bora umeona mwenyewe maisha yalivyo hasa ya mahusiano, upendo ndio kitu cha muhimu, hayo mengine waachie wasio jua maana ya mahusiano
 
Hivi huyu amesharudi au
 
Ingelikua kasema hapendi weusi Basi tungeambiwa ni racism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…