Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Marinda ni nini?Kwani jamaa anapenda marinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marinda ni nini?Kwani jamaa anapenda marinda?
Ni urembo urembo unaopatkana kwenye nguo...ndyo maana hata mm nimemuuliza mtoa post,how come Bond apende marinda?Marinda ni nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni urembo urembo unaopatkana kwenye nguo...ndyo maana hata mm nimemuuliza mtoa post,how come Bond apende marinda?
Hivi huyu amesharudi auView attachment 715517
Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amedai anawachukia wanaume wenye rangi nyeupe kwasababu wanakuwa na matatizo mengi pindi anapokuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi ndio maana kwa sasa anawapenda weusi kama aliyokuwa nayo marehemu Sajuki.
Wastara amebainisha hayo wakati alipokuwa anajibu miongoni mwa maswali yaliyokuwa yanaulizwa na mashabiki zake waliokuwa wanataka kufahamu ni mwanaume wa aina gani Wastara anamvutia kuwa naye katika mahusiano ya kimapenzi au kwa sasa endapo atatokea.
"Mimi kiukweli namtaka mwanaume ambae anajiamini ambae hata tukitembea mbele za watu hawezi kuona aibu, anaejali, mwenye mapenzi ya dhati, awe mwanaume wa kweli yaani asiwe 'Punga' ila asiwe na rangi nyeupe maana nawachukia sana wenye rangi hiyo, nampenda mwenye rangi nyeusi", amesema Wastara.
Aidha, Wastara amesema kipindi cha awali alipokuwa anaanza kujihusisha katika masuala ya mapenzi alikuwa na vigezo vingi alivyokuwa anavitaka awe navyo mwanaume kama kifua kikubwa, Six Pack na vinginevyo.
"Kwa sasa sitaki vigezo kwasababu nimejifunza mengi kutoka kwa marehemu Sajuki maana mume wangu alikuwa na Six Packs za ukweli lakini alipokuwa anaumwa zote zikaondoka 'so' kutoka hapo nimejifunza kupenda jinsi mwanaume alivyo maana vingine vinakuja na kuondoka wakati wote", amesisitiza Wastara.
Kwa upande mwingine, Wastara amesema yupo tayari hata sasa kuolewa na mwanaume mwingine ambaye wataridhiana wenyewe kwa kuwa dini yake ya kiislamu inampa fursa ya kuolewa mpaka pale kifo chake kitakapomchukua endapo hatakuwa katika ndoa.
Muungwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....matonya on fleekFursa hiyo ngoja nimuoe tuwe tunaombaomba wote,maisha magumu bee hapa kudaslam