Ha hahahhhAsepe tu moja kwa moja ili na mimi nitege mingoo maana ashakuwa cha wote
Detective huo ndio ukweliLait angekusikia
Ni kweliwanaume wote wako kama wamezaliwa na mama mmoja tabia zao hazitofautiani sana
Ngoja nikajaribu bahati yangu make wew ujibu PM zanguHa hahahhh
Mkuu unataka kujiweka ee
Detective huo ndio ukweli
Ausikie tu
Ni kweli
Kubadili badili wala sio suluhu
Jaribu kwake aseeNgoja nikajaribu bahati yangu make wew ujibu PM zangu
Pale alifata pesa na matibabu ya bure ..!huyu si aliolewa na mbunge huko zenji..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nasubiri ageukeee.....Jaribu kwake asee
anafukua makaburi
Msanii wa bongo movie Wastara amemchana mpenzi wake wa sasa Bond kwamba asipojirekebisha baadhi ya tabia zake atamuacha na akimwacha hatarudi tena kwake.
Hata hivyo Wastara amesema anaweza kuvumilia shida anazopata kwa Bond lakini anaweza kumuacha muda wowote kwani hahitaji ‘stress’ za kimapenzi huku akiweka wazi kuwa amejitahidi na amefanikiwa kumrekebisha kwa 80 % na endapo ataendelea na mambo yake ya zamani zamani ataachana naye.
Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Wastara amesema “Niseme tu ukweli kwamba kwa Sajuki hakuna mtu anayeweza kufikia upendo wetu kwa kuwa Sajuki alikuwa anajali kila kitu ambacho nilikuwa nakipenda, kitu ambacho mpaka sasa sijapata ni mtu ambaye amefikia hatua za Sajuki “. Alisema Wastara.
Source: Eatv.
Swali ni kwamba yeye amekamiliika kwa kila kitu?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kitu asichokijua wastara ni hakuna mkamilifu 100% zaidi ya aliye juu
Amuache aende kwa mwingine ambaye naye atakuwa na mapungufu
Mwisho wa siku ndio inafikia ile stage ya mwanamke 'screpa'
baby why leo mpole,una mawazo?vp kwani?,shika msimbazi bana kachukue bapa uchangamke.Baby why u check my Phone tugombane tugombane