Wastara amchimba mkwara mpenzi wake, Bond

Wastara amchimba mkwara mpenzi wake, Bond

Ha hahahhh
Mkuu unataka kujiweka ee

Detective huo ndio ukweli
Ausikie tu

Ni kweli
Kubadili badili wala sio suluhu
Ngoja nikajaribu bahati yangu make wew ujibu PM zangu
 
we wastarab peleka upupu wako huko ebooo kila muda sajuki sajuki kama ameuchota hivyo moyo wako unatafuta nini kwa waume wengine? huwezi kuishi kama masister ili umuenzi huyo Sajuki? peleka unafiki wako huko na hao wanaume unaowapata akili zao finyu kweli na kama ulimpenda kweli kwa nini na wewe usinywe sumu umfuate tuamini kweli ulikuwa na penzi la dhati kwake?Acha upuuzi we mdada
 
Akiitaka hiyo "perfect combo" ya 100 Amfate Sajuki (RIP) huko alipo.
 
wastara35.jpg


Msanii wa bongo movie Wastara amemchana mpenzi wake wa sasa Bond kwamba asipojirekebisha baadhi ya tabia zake atamuacha na akimwacha hatarudi tena kwake.

Hata hivyo Wastara amesema anaweza kuvumilia shida anazopata kwa Bond lakini anaweza kumuacha muda wowote kwani hahitaji ‘stress’ za kimapenzi huku akiweka wazi kuwa amejitahidi na amefanikiwa kumrekebisha kwa 80 % na endapo ataendelea na mambo yake ya zamani zamani ataachana naye.

Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Wastara amesema “Niseme tu ukweli kwamba kwa Sajuki hakuna mtu anayeweza kufikia upendo wetu kwa kuwa Sajuki alikuwa anajali kila kitu ambacho nilikuwa nakipenda, kitu ambacho mpaka sasa sijapata ni mtu ambaye amefikia hatua za Sajuki “. Alisema Wastara.

Source: Eatv.
anafukua makaburi
 
Huyo wastara ni mkatili na mbinafsi tu.Kama aliweza kumuacha mtu aliemnunulia mguu wa kisasa akaenda kula bata na mwanaume mwingine,huyo Bond ni muda tu unasubiriwa,na hapo kishapewa onyo ili mkisikia msishangae
 
Kitu asichokijua wastara ni hakuna mkamilifu 100% zaidi ya aliye juu

Amuache aende kwa mwingine ambaye naye atakuwa na mapungufu
Mwisho wa siku ndio inafikia ile stage ya mwanamke 'screpa'
Swali ni kwamba yeye amekamiliika kwa kila kitu?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
demu nae changu tu anachosha,alichofanya baada ya kupata msiba kalialia weeeh aonewe huruma blah blah sajuki sijui ndio nini,haya watu wakampa heshima kama alikua na mapenzi ya kweli,du alivyoanza kugawa papuchi sasa,mara huyo teja,mara mbunge gani sijui falafala toka pemba,mara sijui mwarabu gani mara mimba mara katoa mara mjomba kamuhifadhi moro mara ...mara++++.
yaani inaonekana kifo ilikua kiki wanasema siku hizi maana sasa akiona inaisha anaibua ooh fajuki,

mpumzishe jamaa bana we wastara changu tu wa kawaida kama wengine.achia pauchi watu waitwange marehemu tumrehemu.
 
wanawake wa kizanzibar wanapenda sana kutawala wanaume kitu ambacho wanaume wa bara hawakubaliani nacho labda kwa yule zoba atafute zoba akimpata watatulia
 
Baby why u check my Phone tugombane tugombane
baby why leo mpole,una mawazo?vp kwani?,shika msimbazi bana kachukue bapa uchangamke.
mzee hata bapa hurudi nalo,ushalitandika huko huko unarudi kitaa unaimba mwanameka alafu hiyo gonga ya mlango mwenyewe ndani anajua "THATS MY MAN".😀😀😀ukiingia sasa.

ila mungu anatuona aisee si kwa huruma zile
 
Back
Top Bottom