Wastara aolewa kwa mara ya saba

Wastara aolewa kwa mara ya saba

Hata kama ndoa ni stara sometime tukae tujifikirie na tujipange.

Dah. I would feel like my genitals were being over exposed.

What is the purpose of getting married if it doesn't last for it lacks firm foundation?

Mbona kama sasa tunageuza institution ya ndoa kuwa ya kuonjana onjana tu?

Asikuambie mtu, raha ya ndoa iwe na bond ya urafiki wa kudumu.
 
Napigia mstari kwa msisitizo mkuu
 
Siku ice kapunguza kuna kipindi zari alibeba mimba ya nillan akasema "sasa inabidi serikali iingilie kati maana keshageuzwa incubator " mengine sikumbuki aiseee nilicheka siku nzimaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una kumbukumbu mweeh!!
 
Shosti shetani mbayaaa ananitia majaribuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi unamhusu wastara anatajwa bosslady daaah watu na nyota zao

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]bora nirudi home mieee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rudi nyumbani tu tena fanya haraka
Shetani shindwaaaaaa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom