Wastara arejea, asema fedha za matibabu hazikutosha

Sijui kwa nini huwa napataga shida kumuamini huyu mama,japokuwa sura yake imekaa kihuzuni huzuni tu!
 
Huyu dada hakuwahi kushukuru jamani kila siku yeye hatosheki tu. Simsemi vibaya lkn anawavunja moyo wanaomsaidia.
 
Hahaha
Wastara bwana... Inaonekana alitumia hela nyingi sana
 
Huyu binti bado hajitambui,wala kulikuwa hakuna haja ya kuzungumza habari za kamera hapa ,kuna watanzania wanakufa kwa kukosa laki tano tu,sembuse yeye au anajiona yeye ni wa thamani kuliko mtanzania mwingine???
 
Jinga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…