Wastara arejea, asema fedha za matibabu hazikutosha

Msalaba ukipita Unaleta nini? Msalaba ni Mmoja tu, ule wa Gorigotha hayo mengine ni Ibada za sanam.
Nb najua utanishambulia
 

[emoji23][emoji23][emoji23] yaani watu watubu kisa Wastara??nilidhani yeye ndio anatakiwa kutubu yaani amechangiwa matibabu ya mamilioni alafu anarudi analalama kisa kauza camera ivi unajua kuna wagonjwa wangapi wanalala chini na wapo waliopoteza maisha kwa kukosa elfu 10 ya dawa wakati yeye kaenda kutibiwa India,hajamkosea mtu ila anakera kwa kutumia changamoto yake ya mguu kama mtaji wa kutafuta huruma ya jamii.
 
Huyu Dada atakuwa na matatizo zaidi ya anavodai.

Ukiangalia historia ya magonjwa yake na marehemu mumewe utaona kabisa sio ya kawaida. Kila siku yanaibuka mapya.

Hivyo, kama kuna mtu ambae wastara alimkosea kwa namna yeyote ile akamuombe msamaha. Huenda ikasaidia.

Mengine siyakusema. Ajifanyie tathmin ya maisha yake, alikosea wapi??
 

Pesa hazikutosha kwani ni nani ambaye alipoulizwa gharama zote za matibabu ni Kiasi gani kisha akakitaja chote na kukabidhiwa hicho hicho na tena huku Wadau wengine wachache wakimchangia? Nimekuwa nikijaribu mno kuifuatilia Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda Hayati Nduli Idi Amin Dada na kutaka kujua ni kwanini mara nyingi sana alikuwa akipenda Kuwauwa kwa kuwapiga Risasi wajinga wajinga na wasiojitambua wote nchini Kwake ili kutowaambukiza na wengine huo Upuuzi / Upupu wao na sasa nimemwelewa. R.I.P Kwake Nduli.
 

Huyu dada angempokea bwana Yesu, kwa Hakika angekuwa bwana na mwokozi wa Yale yote anayohangaika nayo maana Yesu ndio mbeba mizigo yote migumu iliyowashinda wanadam wote…
 
Tuko pamoja mkuu
 
Matibabu mengine amalizie apo Mwananyamala
 
DAH! ILA WASTARA ANATUDEKEA WATANZANIA.. HAPO ALIPOSEMA HELA HAIKUTOSHA IKAMBIDI AUZE CAMERA YAKE.. TAFSIRI YAKE NI KAMA 'SISI WATZ NI WAZAZ WAKE NA TUMESHNDWA KUMHUDUMIA MPK AKALAZIMIKA KUUZA KAMERA YAKE'

WASTARA INGETOSHA KUSEMA, UNAWASHUKURU WATZ KWA KUKUCHANGIA TIBA.. MENGNE UNGEBAK NAYO MOYON.
 
Hili janamke huwa Bwenge sana.
Ndiyo maana watu walikuwa wanabeza wakati akihitaji msaada wakati mali za kumsaidia zilikuwapo.

Anajiona yeye wa thamani kiasi watu wauze mali zao kwa ajili yake .

Nashindwa kumlaumu sana maana sifahamu elimu yake japo elimu ya mtu sio kipimo cha busara na uelewa.

Huyu mwanamke ndio nadhani anaongoza kwa kuolewa na kudumu mwezi kila anapoolewa.

Lazima atakuwa na matatizo mazito ambayo wanaume wengi huwa hawaelezi.
 
BINADAMU TUMEFIKIA DHIHAKA YA NAMNA HII KWA MTU ALIYEPATA AJALI YA MGUU NA NYINGINEZO. HIVI WATANZANIA TUMEFIKA HAPO.

MWENYEZI MUNGU AKUPE NAFUU BI WASTARA UPONE SHIDA ZA AFYA ZINAZOKUSIMBUA. AMIN
 
NILIKATAZWA NA MAMA YANGU NIKIWA MDOGO KUTOWADHIHAKI WALEMAVU ILA NIKUWASAIDIA IKIBIDI. NAMSHUKURU MAMA YANGU KWA MALEZI MEMA.

NINACHOKIONA HUMU KEJELI KWA MGONJWA TUMWOGOPE MWENYEZI MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…